Nimemuota Kapeace, naomba msaada!


WEWE HUJIELEWI, YANI MWANAUME MZIMA UNAKUJA KUANDIKA MADUDU HAPA ILI UPATE NYAPU KWA SYMPATHY?

YANI UNAANDIKA UZI KABSA KISA MWANAMKE AMBAYE HAMJAWAHI KUONANA?

NYIE NDO WANAUME MNAOTAKA SANA KUWA MA β€œGENTLEMAN” SANA KULIKO KUWA MWANAUME MWENYE MSIMAMO NA KUJIHESHIMU


HUJIELEWI KABSAA
 
Kuna wakati, ndoto huwa ni matokeo ya kuliwaza jambo kwa muda mrefu..!! We sema tu unamtaka basi..!! BASI MTONGOZEE..!!
 
HIzo shobo huwa baadaye mnabakwa. Tuvulana twa siku hizi tunatembea kama tumepasuka msamba sababu ya kuwa tayari tumeshapoteza ubingwa sababu ya mambo ya kipuuzi kama haya. Unapigwa bomba kushobokea watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…