- Thread starter
- #21
Sifa yako kuu ni kudesa, huniangaishi!Ajifunze kubalance sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifa yako kuu ni kudesa, huniangaishi!Ajifunze kubalance sio?
Taaaaawire mganga 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mkuu, nakuapia utakuja mwenyewe kutoa ushuhuda hapa.
wizzle hujaniota na mimi 😊🤗
Acha nyege tafuta kazi ufanye utawehuka ukiendelea hivyoBasi hii ndoto itakuwa ya kishenzi kupitiliza na ndo itakuwa ya kwanza kunidanganya!
Imetokea usiku wa kuamkia leo hiyo kitu, tena mara kadhaa. Kila nikilala kidogo namuona kapeace amefika tunazungumza, nikiamka hayupo! Nimeamka tangu saa kumi na moja kutafakari hili.
Nimemfuata dm tushirikiane kuitafsiri ndoto kwa amani na upendo wa hali ya juu, amenikaushia tu au haijafika.
Nafanyaje hapa wadau na mimi hii ndoto imeshaingia akilini?!!!!!
Leejay49 nimuote nan zaidi yakowizzle hujaniota na mimi 😊🤗
Kuna wakati, ndoto huwa ni matokeo ya kuliwaza jambo kwa muda mrefu..!! We sema tu unamtaka basi..!! BASI MTONGOZEE..!!Imetokea usiku wa kuamkia leo hiyo kitu, tena mara kadhaa. Kila nikilala kidogo namuona kapeace amefika tunazungumza, nikiamka hayupo! Nimeamka tangu saa kumi na moja kutafakari hili.
Nimemfuata dm tushirikiane kuitafsiri ndoto kwa amani na upendo wa hali ya juu, amenikaushia tu au haijafika.
Nafanyaje hapa wadau na mimi hii ndoto imeshaingia akilini?!!!!!
Leejay49 naendelea vizuri my wiii kukumiss tu😔hapo sawa🤗, vipi lakin unaendeleaje my wiii
Kuku, kukuu, au kuku kuku kuku..!!???Nimekuota Mwachiluwi
Nimeota unaninyang’anya kipande cha kuku 😂😂
Kuku- vyuku 🍗🐓🐣 😂😂Kuku, kukuu, au kuku kuku kuku..!!???
Hili hapa chini si ni rungu jamanii..!!Kuku- vyuku 🍗🐓🐣 😂😂
Nilisahau kuweka hili clear hapo mwanzoni mwa mada, sitojibu U17Acha nyege tafuta kazi ufanye utawehuka ukiendelea hivyo
😂😂😂😂😂 Zinduka kwenye kochi la shemeji hapoNilisahau kuweka hili clear hapo mwanzoni mwa mada, sitojibu U17
Ni kipaja cha kuku wa kienyejiHili hapa chini si ni rungu jamanii..!!