Zurie
Platinum Member
- Jul 6, 2014
- 2,089
- 5,966
Juzi nimekaa na rafiki yangu fulani, tunaongea tu mambo ya maisha.
Katika maongezi shwaa tukamuongelea mkewe. Nikaona nipitishe swali "kwani mkeo unampendea nini?"
Akajibu in like 3 seconds, kwa kusema two very beautiful things anapenda kwa mkewe tena ni vitu kuhusu mkewe as a person, sio kama mama, sio kama mke, sio vitu anafanya.
Nisiwe muongo, wivu niliousikia hapo sijawahi kuusikia katika maisha yangu.
Na sijaona wivu eti kuhusu yeye na mkewe, wivu wangu ni kutokana na kwamba najua leo hii mume wangu mimi akiulizwa paap, "Zurie umempendea nini?" atambwelambwela tuuu na akijitafuta sanaaaa atasema "ni mama mzuri", jibu ambalo 60% ya wanaume wanalipenda. Halafu kuna mwanaume anajibu confidently na vitu viwili very niche kuhusu mkewe.
Anyways, nikirudi duniani mara ya pili nitajaribu tena.