ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
C&P ndio elimu ya sasa mama!Mzee baba unatake kudesa?
C&P ndio elimu ya sasa mama!Mzee baba unatake kudesa?
Comparison is the thief of joy.Juzi nimekaa na rafiki yangu fulani, tunaongea tu mambo ya maisha.
Katika maongezi shwaa tukamuongelea mkewe. Nikaona nipitishe swali "kwani mkeo unampendea nini?"
Akajibu in like 3 seconds, kwa kusema two very beautiful things anapenda kwa mkewe tena ni vitu kuhusu mkewe as a person, sio kama mama, sio kama mke, sio vitu anafanya.
Nisiwe muongo, wivu niliousikia hapo sijawahi kuusikia katika maisha yangu.
Na sijaona wivu eti kuhusu yeye na mkewe, wivu wangu ni kutokana na kwamba najua leo hii mume wangu mimi akiulizwa paap, "Zurie umempendea nini?" atambwelambwela tuuu na akijitafuta sanaaaa atasema "ni mama mzuri", jibu ambalo 60% ya wanaume wanalipenda. Halafu kuna mwanaume anajibu confidently na vitu viwili very niche kuhusu mkewe.
Anyways, nikirudi duniani mara ya pili nitajaribu tena.
🤣🤣🤣Umenipendea nini?C&P ndio elimu ya sasa mama!
Ukorofi!🤣🤣🤣Umenipendea nini?
🤣🤣🤣 na upole wote huu?Ukorofi!
Ila ndio hivyo haiwezekani kuzaliwa upyaAh potelea pote. Love dey sweet oo
Story ingenoga zaidi kama ungetwambia hivyo vitu viwili ulivyoambiwaJuzi nimekaa na rafiki yangu fulani, tunaongea tu mambo ya maisha.
Katika maongezi shwaa tukamuongelea mkewe. Nikaona nipitishe swali "kwani mkeo unampendea nini?"
Akajibu in like 3 seconds, kwa kusema two very beautiful things anapenda kwa mkewe tena ni vitu kuhusu mkewe as a person, sio kama mama, sio kama mke, sio vitu anafanya.
Nisiwe muongo, wivu niliousikia hapo sijawahi kuusikia katika maisha yangu.
Na sijaona wivu eti kuhusu yeye na mkewe, wivu wangu ni kutokana na kwamba najua leo hii mume wangu mimi akiulizwa paap, "Zurie umempendea nini?" atambwelambwela tuuu na akijitafuta sanaaaa atasema "ni mama mzuri", jibu ambalo 60% ya wanaume wanalipenda. Halafu kuna mwanaume anajibu confidently na vitu viwili very niche kuhusu mkewe.
Anyways, nikirudi duniani mara ya pili nitajaribu tena.
Usithubutu, utafurahishwa na nafsi yako🤣🤣🤣I’m telling you the way nimejizuia kuuliza swali hili nyumbani kwangu😆…natamani kuuliza ila kuna sauti inaniambia “mwana kulifind, mwana kuliget”
Nje ya mwanamke mtiifu na heshima.
Kimaumbile wanaume tunapenda Wake zetu wawe wazuri sana, sura, macho, na shape.
Sisi Watibeli uzuri wa mwanamke ni sifa kuu tunapochagua mke wa kuoa.
Umeshayakanyaga huko mpaka unataka second chance 😂 poleAnyways, nikirudi duniani mara ya pili nitajaribu tena.
Umekuwa bahili wa taarifa sahihi katika uzi uliouanzisha wew mwenyewe.Hii ni kweli kabisa. Ingawa vitu viwili alivyotaja vilikuwa sio vya maumbile. Ni more of kuhusu personality yake
Huyo ni fwalaaa😆Umenikumbusha rafiki yangu mmoja huwa anajishtukia kuhusu mkewe, utamsikia "Usimuone hivi mke wangu, zamani alikua mzuri"😂