Nimemuuliza swali rafiki yangu; nimepata wivu usiomithilika

Eeh mkuu hii ni ngoma, mimi nilishawahi kuuliza swali kama hilo na nikapata jibu la kushtusha. Hapo jibu lake linaonyesha anajua thamani ya mke wake, wivu unaweza kuwa ishara ya kutojiamini. Lakini pia, ukweli ni kwamba kila mtu ana kipimo chake cha upendo, si lazima kila mtu aonekane anapendwa kwa namna ile ile..
 
Juzi nimekaa na rafiki yangu fulani, tunaongea tu mambo ya maisha.

Katika maongezi shwaa tukamuongelea mkewe. Nikaona nipitishe swali "kwani mkeo unampendea nini?"

Akajibu in like 3 seconds, kwa kusema two very beautiful things anapenda kwa mkewe tena ni vitu kuhusu mkewe as a person, sio kama mama, sio kama mke, sio vitu anafanya.

Nisiwe muongo, wivu niliousikia hapo sijawahi kuusikia katika maisha yangu.

Na sijaona wivu eti kuhusu yeye na mkewe, wivu wangu ni kutokana na kwamba najua leo hii mume wangu mimi akiulizwa paap, "Zurie umempendea nini?" atambwelambwela tuuu na akijitafuta sanaaaa atasema "ni mama mzuri", jibu ambalo 60% ya wanaume wanalipenda. Halafu kuna mwanaume anajibu confidently na vitu viwili very niche kuhusu mkewe.

Anyways, nikirudi duniani mara ya pili nitajaribu tena.
Mume wa mwenzio ni mzuri mpaka awe wako.
 
Dalili za umalaya.
 
Vitumbua-Tanzanian-Mini-Rice-Cakes-500x375.png

Kunywa chai na vitumbua hivyo though tetesi za humu ndani zinadai una "aleji" navyo. Heheeeeee
 
Atakua ndo huyu?
 
Attachments

  • FB_IMG_1742017337201.jpg
    FB_IMG_1742017337201.jpg
    44.4 KB · Views: 11
Kwamba hakuna mume mzuri duniani?
Yupo ila anapokuwa kwako ule uzuri unakuwa normal, unaona kama ni common huko nje kumbe ni aina ya uzuri ambao utakupa wivu kweli asipokuwa kwako.
 
Back
Top Bottom