Nimemuuliza swali rafiki yangu; nimepata wivu usiomithilika

Comparison is the thief of joy.
 
Nje ya mwanamke mtiifu na heshima.
Kimaumbile wanaume tunapenda Wake zetu wawe wazuri sana, sura, macho, na shape.

Sisi Watibeli uzuri wa mwanamke ni sifa kuu tunapochagua mke wa kuoa.
 
Story ingenoga zaidi kama ungetwambia hivyo vitu viwili ulivyoambiwa
 
I’m telling you the way nimejizuia kuuliza swali hili nyumbani kwangu😆…natamani kuuliza ila kuna sauti inaniambia “mwana kulifind, mwana kuliget”
Usithubutu, utafurahishwa na nafsi yako🤣🤣🤣
 
Nje ya mwanamke mtiifu na heshima.
Kimaumbile wanaume tunapenda Wake zetu wawe wazuri sana, sura, macho, na shape.

Sisi Watibeli uzuri wa mwanamke ni sifa kuu tunapochagua mke wa kuoa.

Hii ni kweli kabisa. Ingawa vitu viwili alivyotaja vilikuwa sio vya maumbile. Ni more of kuhusu personality yake
 
Nimependa hapo Pa kumpenda as a person.
Hii imekaa vyedi sanaa. 🔥🔥🔥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…