American nigga
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 902
- 1,545
Wivu umemzidi 😆😆😆Umekuwa bahili wa taarifa sahihi katika uzi uliouanzisha wew mwenyewe.
Sasa unaogopa nini kusema ulichoambiwa..
Na mukaachanaaaaa....,Yeah ukiwa na mwanamke unampenda kwa dhati unanyooka kama rula , x wife wangu ,mama wa binti yangu nilimpenda pua ndefu yake, nywele ndefu zake , miguu ya shampen, na rangi yake ya weusi mzuri na wa kuvutia
Na bado mkaachanaYeah ukiwa na mwanamke unampenda kwa dhati unanyooka kama rula , x wife wangu ,mama wa binti yangu nilimpenda pua ndefu yake, nywele ndefu zake , miguu ya shampen, na rangi yake ya weusi mzuri na wa kuvutia
Bwashee, kuachana ni makubaliano tuNa bado mkaachana
SidhaniNa mukaachanaaaaa....,
Mume wa mwenzio ni mzuri mpaka awe wako.Juzi nimekaa na rafiki yangu fulani, tunaongea tu mambo ya maisha.
Katika maongezi shwaa tukamuongelea mkewe. Nikaona nipitishe swali "kwani mkeo unampendea nini?"
Akajibu in like 3 seconds, kwa kusema two very beautiful things anapenda kwa mkewe tena ni vitu kuhusu mkewe as a person, sio kama mama, sio kama mke, sio vitu anafanya.
Nisiwe muongo, wivu niliousikia hapo sijawahi kuusikia katika maisha yangu.
Na sijaona wivu eti kuhusu yeye na mkewe, wivu wangu ni kutokana na kwamba najua leo hii mume wangu mimi akiulizwa paap, "Zurie umempendea nini?" atambwelambwela tuuu na akijitafuta sanaaaa atasema "ni mama mzuri", jibu ambalo 60% ya wanaume wanalipenda. Halafu kuna mwanaume anajibu confidently na vitu viwili very niche kuhusu mkewe.
Anyways, nikirudi duniani mara ya pili nitajaribu tena.
Haudhani na umemuita x wangu ..... Au bado mna saga na kukoboa nafaka....Sidhani
Dalili za umalaya.Juzi nimekaa na rafiki yangu fulani, tunaongea tu mambo ya maisha.
Katika maongezi shwaa tukamuongelea mkewe. Nikaona nipitishe swali "kwani mkeo unampendea nini?"
Akajibu in like 3 seconds, kwa kusema two very beautiful things anapenda kwa mkewe tena ni vitu kuhusu mkewe as a person, sio kama mama, sio kama mke, sio vitu anafanya.
Nisiwe muongo, wivu niliousikia hapo sijawahi kuusikia katika maisha yangu.
Na sijaona wivu eti kuhusu yeye na mkewe, wivu wangu ni kutokana na kwamba najua leo hii mume wangu mimi akiulizwa paap, "Zurie umempendea nini?" atambwelambwela tuuu na akijitafuta sanaaaa atasema "ni mama mzuri", jibu ambalo 60% ya wanaume wanalipenda. Halafu kuna mwanaume anajibu confidently na vitu viwili very niche kuhusu mkewe.
Anyways, nikirudi duniani mara ya pili nitajaribu tena.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Sasa mkomoe mkewe kwa wewe kumpa papaso huyo kijana.
Chai🤭🤭nitachagua mapenzi na sio pesa
Mwisho wake utapata UKIMWI .Ni kweli
Karibu kwangu kama ikikupendezaOfa bado ipo?
Ana aleji na vitumbua, bc huyo atakuwa shoga 😎View attachment 3653406
Kunywa chai na vitumbua hivyo though tetesi za humu ndani zinadai una "aleji" navyo. Heheeeeee
Mzee baba unatake kudesa?
Yupo ila anapokuwa kwako ule uzuri unakuwa normal, unaona kama ni common huko nje kumbe ni aina ya uzuri ambao utakupa wivu kweli asipokuwa kwako.Kwamba hakuna mume mzuri duniani?