Nimemvumilia sana mke wangu kwa tabia zake mbovu, mama yake kanipa makavu kwamba bila kipigo siwezi kuheshimika, haya mawazo yake ni sawa?

Nimemvumilia sana mke wangu kwa tabia zake mbovu, mama yake kanipa makavu kwamba bila kipigo siwezi kuheshimika, haya mawazo yake ni sawa?

Ni hatari sana kuoa binti asiyelelewa na baba au baba hana sauti kama wewe huna mkono wa upigaji kaa mbali at your own risk, usijepata maradhi ya moyo kwa faida ya akili na afya YAKO ya moyo. Huwa hawajitambui kabisa na ukiwa muungwana wanakuchukulia boya.
Dawa zao ni mbili
Tembeza kipigo au oa mke mwingine
 
Japo si sawa lakini baadhi ya wanawake bila kichapo heshima haipo. Ila usipige kuharibu sura yake, mwite chumbani mcharaze maeneo yasiyomletea madhara.
Wengine ni manunda ukilala lala jicho moja la sivyo pumbu zako atawatupia kunguru,
 
Japo si sawa lakini baadhi ya wanawake bila kichapo heshima haipo. Ila usipige kuharibu sura yake, mwite chumbani mcharaze maeneo yasiyomletea madhara.
Mwanamke ukimkanda usoni ndio vizuri kunakoenekana ndio anakuwa na adabu yale makovu atajificha ndani week nzima asionekane na mashoga zake mpka apone
 
Kwakweli huwa siamini kabisa kwenye mambo ya kupiga mwanamke ambae nimemzidi nguvu by far.

Kuna binti nimemuoa sasa kuna vijitabia vimekuwa kiburi ambacho kilianza kama masikhara ila sana kinazidi.

Sasa tangu nianze kumkanya, mabishano yamekuwa mengi, nikiongea neno moja kwa sauri ya chini kujaribu kumwelewesha yeye ashaongea maneno kumi kwa sauti tena ya shombo.

Kero hii sijawai kumwambia mama yake ila kwavile kuna ndugu yake moja tunaishi nae nahisi ndio kafikisha hio habari kimya kimya,

Jana mama mkwe kaniambia wazi kwamba bila kumtandika mwanae katu hawezi kuja kuniheshimu kama mwanaume, kaniasa namuendekeza sana mwanae kunipanda kichwa, Kanipa msisitizo kwamba akijaribu tena kuinua mdomo ruksa nimchape makofi.

Je ni sawa kumpiga mwanamke ? hakuna njia nyingine ?
Endelea kumchekea hadi siku akuite msenge mbele ya hadhara ndio utaelewa kilichomtoa kanga manyoya.
 
Mama mkwe anataka wewe ndio ufanye jukumu la kumyoosha lililowashinda wao. Sasa sijui kama samaki mkavu anakunjika!
 
Mastori Ya Town ~~~~~~Piga Jela Ikuite Chap Chap, Bora Tuachane Sijui Kaimba Nani Vile
 
Mwanamke yeyeto asiye na heshima kwa mume wake hata mzazi wake hawezi kumpa heshima yake. Na anakuwa hana heri duniani. Maandiko yanasema waheshimu wazazi wako upake heri na baraka tele duniani
 
Yupo mzazi mmoja alimwambia mkwewe amechoka kusuluhisha kesi hata iyo kukaa na mwanae na kuzaa watoto 2 amejitahd sana na tangu waachane huyo binti (mmama kwa sasa) hajaolewa tena

Fuata ushauri piga huwezi kupiga muachane kistaarabu

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Kama mama yake alishindwa kumyoosha je wewe utaweza?
Mzazi anamlea mtoto vibaya then mzigo wa malezi mabovu akabebe mwingine wakati aliyemlea vibaya kakunja nne kijijini hii ni SAwa kweli?
 
Wakati mwingine midomo na stress za wanawake mnazisababisha wenyewe, hamwaridhishi kunako mpo jujuu tu kama mikia ya mbuzi, ndiyo maana mnaonekana mabogasi, wee mpige kisha hasira zake akatulizwe huko nje!
 
Hayo ndio yalikuwa maisha yake kwao, hivyo huna budi kuyaendeleza
 
Kwakweli huwa siamini kabisa kwenye mambo ya kupiga mwanamke ambae nimemzidi nguvu by far.

Kuna binti nimemuoa sasa kuna vijitabia vimekuwa kiburi ambacho kilianza kama masikhara ila sana kinazidi.

Sasa tangu nianze kumkanya, mabishano yamekuwa mengi, nikiongea neno moja kwa sauri ya chini kujaribu kumwelewesha yeye ashaongea maneno kumi kwa sauti tena ya shombo.

Kero hii sijawai kumwambia mama yake ila kwavile kuna ndugu yake moja tunaishi nae nahisi ndio kafikisha hio habari kimya kimya,

Jana mama mkwe kaniambia wazi kwamba bila kumtandika mwanae katu hawezi kuja kuniheshimu kama mwanaume, kaniasa namuendekeza sana mwanae kunipanda kichwa, Kanipa msisitizo kwamba akijaribu tena kuinua mdomo ruksa nimchape makofi.

Je ni sawa kumpiga mwanamke ? hakuna njia nyingine ?
Kwa Nini umwoe Binti?
 
Back
Top Bottom