Nimemwachia mali zote, naanza upya

pole dogo. sikuingine zingatia kanuni hii utanikumbuka.

"Usioe mtu unaempenda, oa mtu anayekupenda"
 
Naamin mtarudiana tu, kwa jins ulivyoandika ni bado unampenda

Ukiona mwanamke wako amebadilika usianze kumlaumu, unaweza kuta ww ndio sababu ya yeye kubadilika

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Babu... Baba amefariki ... Baba yake amefariki... Kama nilivyosema ..Mama yake amemuita yupo nyumbani... Na nimemtumia mama tiketi ya ndege ..wakae .. kuongea kuhusu malezi ya watoto sio kurudiana.... Udhaifu wangu ni mnywaji(sio mlevi).... Naonekana namuonea ...
 
Ungesema namuachia kiwanja na nyumba, usiseme mali.. mali yenyewe iko wapi hapo?? Sokapohapo!!
Nimemwachia demu wangu sio mke ndinga la mil 35, nyumba ya ghorofa mbili nk, na sijatangaza. Wewe viwanja viwili matangazo kama ya Amazon college
Na ww mbele ya mtu aliyemuachia demu wake mali za thamani za billion 5 . Unaonekana mpuuzi na vimilioni 35 vyako...

Kila mtu na viwango vyake
 
If you sleep till the sunrise... Aaah you shoga!
Nafikri ...umepata majibu ..!!?? Am not that stupid bro.. MAAMUZI niliyofanya na aliyofanya huyu kumuua mkewe na kujiua yeye !!?? YAPI Bora! Yapi ya kiume!!?? . .. halijakufika.... Busara niliyotumia inamuumiza mnoo... Kesha niita nyumbani(ukoo nilio muoa)...keshiniita kwao(nilpomuoa ) ... Anaumia yeye ...nimemuchia Mali zote... Kaka yake ndio ana ndoa.... Nimekaa naye miaka 8 .... Baada ya kuondoka ndio amejua Nini maana ya mume.... Kama hampo kwenye hii TAASISI ya ndoa tuacheni msilete ujuaji... ALIYONIUDHI NKAMUACHIA MALI ZOTE BADO MNANIONA MJINGA!!?
 
Na ww mbele ya mtu aliyemuachia demu wake mali za thamani za billion 5 . Unaonekana mpuuzi na vimilioni 35 vyako...

Kila mtu na viwango vyake
Kaka ... Umekisikia kisa Cha mwanza ... Mimi na yule nani mwanaume!!?? Mwanamke alinidharau pakubwa mno ... Nkasema poa kanizalia watoto ..nkaondoka .... Tangu napost hii thread mpaka Leo tumekaaa vikao vingi mnoo anaomba msamaha ...na mwanaume aliyekuwa ana mpa KIBURI amemuacha ... ... Ana haha mjini tu ... Mali nimemuachia heshima kapoteza .... Vikao ni vingi .... Turudiane ... Ningekuwa na risasi na hasira zile !!? Hata Kwa kisu ningeweza kumuua...ila nilimpenda sana ..hata humu nilieleza ... Nikaamua kumuacha amenizalia watoto wawili wakiume wa kwanza na WA kike wa pili ... Nikasema nimuachie Mali awalee wanangu ila sitokaa naye tena Kwa usaliti alionifanyia... MKANIONA BOYA!!??? MI NI GENTLEMAN...
 
Ungesema namuachia kiwanja na nyumba, usiseme mali.. mali yenyewe iko wapi hapo?? Sokapohapo!!
Nimemwachia demu wangu sio mke ndinga la mil 35, nyumba ya ghorofa mbili nk, na sijatangaza. Wewe viwanja viwili matangazo kama ya Amazon college
Sasa gari ya 35M nayo ni gari ya kuhonga kweli? Nilijua kuanzia 50M hivi minimum angalau! Wote waganga njaa tu we' na huyo demu wako.
 
Safi Sana Mali Zina tafutwa! Bora Amani ya Moyo
 
Kuna yule Demu wa Msanii flani alimuacha mwana wamezaa nae watoto wawili akaenda kuolewa na jamaa...!! Wanawake ni shida sana kuna namna wakifanya maamuzi yao wew Jitahidi kuachana nae uanzee upyaaa ni Bora kuonekana mjinga kuliko kutaka Kuonekana Mwanaume..
 

[emoji23][emoji23][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…