Nimemwachia mali zote, naanza upya

Ulivyompatapata nadhani ni miongoni mwa chanzo cha tatizo.
 
usiwe kama mke wa Lutu
 
Great example chief [emoji106]
 
Wewe ni lofa
 
Ndoa ni makubaliano ya watu wawili walioamua kuishi pamoja kwa upendo, amani na masikilizano.........inapotokea kuwa upande mmoja ndio unalazamisha kuendelea kwa Muunganiko huo.... automatically ndoa inapoteza maana na kuwa UTUMWA............

Usibaki kwenye ndoa au mahusiano ambayo hayakupi furaha bali unatakiwa kuchukua hatua na maamuzi magumu kujinasua kwani mtu aishiye kwenye dimbwi la SONONEKO ni kama kipande Cha barafu kilichotumbukizwa ndani ya maji......

WORRD IS ENOUGH FOR THE WISE....
 
Puuzi kabisa wewe
 
Kweli kuna ndoa ambazo ni ndoano, pole kwa yote lakini itapendeza zaidi kama mtaweka mambo sawa maisha yaendelee.
 
Hua tunawaambia kuoa mwanamke mwenye kiajira ni kujitia kitanzi hamsikii, hao wana jeuri mpaka haifai
 
Pole kwa maumivu! Unless una mapungufu yanayokufanya umwage manyanga. Mwanaume lijari hawezi kumkimbia mwanamke hata iweje!
 
Nakumbuka Kuna jamaa mmoja alimwachia mkewe kila kitu yaan akaondoka zero kabisa ( sababu ilikuwa mkewe alikuwa na mchepuko pia jamaa kazi yake haikuwa stable .akaenda kuanza maisha mapya aisee .MUNGU akamfungulia milango jamaa akapata kazi kubwa Sana akaoa mke mwingine akajenga mjengo wa maana hapa Dar na Hadi Sasa anatembelea zile gari DT Dobie nadhani mmezielewa. Sasa mwanamke Saiv Hana mbele wala nyuma hakumbuki kutengeneza hata nywele..Yale Yale anaenda kwa ndugu wa jamaa kuomba eti warudiane..wakati jamaa kashapata mtu mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…