Nimemwachia mali zote, naanza upya

Ewe Mwanamke,, usimdharau Mume ukategemea mashost,, na ukashindwa kujua kuwa utamu wa ugali huwa unatemea na mboga...

Heshimu mumeo na mengine yote utazidishiwa.
 
Asante
 
Basi sawa
 
Na wakati mwingine huyo anayeshawishi hana hata mume, anataka uachane na mume wako ili mfanane [emoji3064][emoji3064]
 
Ukute kuna jamaa alikuwa anamfukuzia kwa muda mrefu lakini akawa anamkataa kwa kuona yuko na wewe,

Sasa mwisho wa siku unam-disappoint pakubwa hivyo unazani nini kitafuata ?

Halafu huwa inatokea jamaa wa nje anampenda
Kwa dhati ya moyo !
 
Amekupa nafasi ujiachie na michepuko yako !

Hivi kama unampenda mtu utam-cheat Kweli?
 
Inamaana kuna kitu ulikokosa kwake ukakiona
Kwa Mchepuko,

Sasa mlete mchepuko ndani muishi pamoja mjiachie maana kauzibe ameondoka.

Au mfate mchepuko alipo mkaishi myajenge.
 
Jamaa yangu alishaniambiaga mwanaume hutakiwi kuwa na mwanamke mmoja. Kama imani hairuhusu hatamchepuko unatosha ili akizingua au kukunyima unatulia siku ya pili unaenda suuza rungu ukirudi nyumbani huna time.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mnawazalilisha sana wake zenu kwenye jamii kwa kuchepuka kwenu.!

Ndio maana wanawake wengi wanafika mahala wanawakinahi kabisa !
 
Kuna wanawake wameumizwa mioyo yao hadi wamefika
Mahala pa kumsihi Mungu awachukue waume zao !

Imagine [emoji848][emoji848]!

Sasa endeleeni kuneng’eneka !

Alisikika Mchungaji mmoja akiyasema hayo!
 
Yaani mambo ya kitandani ndio umeona ya msingi sana kwenye mada ya jamaa

Kweli botha na trump walikuwa sahihi alivyosema waafrica tunawaza sex tu muda wote.
Nimewaza nje ya box coz na deal na hizi mambo kila siku almost lazima nikutane na hizi cases.
 
Kwamba kutooa mwanamke ndo utakuwa umekwepa hizo changamoto?

Muoane nyie kwa nyie ndo hamtapata changamoto za ndoa
😳😳😳 Kuacha kila kitu na kuanza upya ni changamoto au UMASIKINI..!!

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…