The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Kwani mkeo ana miaka mingapi? Na yeye kasema atastaafu akifikisha miàka mingapi?Leo nimeamka chupa imejaa chai ! Baada ya kutafakari kwa kina wanaume kwanini tunatangulia kufa kabla ya wanawake nikagundua tunafanya ngono sana na kupunguza miaka yetu ya kuishi ,hebu fikiria patashika ya mwili pale unapokuwa juu ya mwanamke,jasho ,udende,makelele sijui mwili unakakamaa kama unakata roho tendo Hilo ukilifanya kwa miaka 30 huwezi kuwa hai ! Wanawake wao wanapokea lakini sisi ndio tunaosulubika ! Kukojoa tu pekee ni kutoa damu x miaka 30 utakuwa hai ? Ndio maana sasa Mimi nimemwambia mke wangu nikifikisha miaka 47 na sasa Nina 45 sifanyi tendo la ndoa Tena iwe ndani au nje ya ndoa napumzisha viungo vya mwili wangu ! Akawanyonye damu wengine
Nimemshangaa pia.Miaka 47?? Kwamba we ni bonge sana ukifika miaka 47 unakuwa huwezi hata cha sekunde kadhaa?
Miaka 47 mbona ni mbaba mbichi sanaaaa?
Huo ndo muda wa kufanya zaidi. Sex ni mazoezi. Kutofanya mazoezi utakufa mapema. Fanya mapenzi uishi miaka mingiLeo nimeamka chupa imejaa chai ! Baada ya kutafakari kwa kina wanaume kwanini tunatangulia kufa kabla ya wanawake nikagundua tunafanya ngono sana na kupunguza miaka yetu ya kuishi ,hebu fikiria patashika ya mwili pale unapokuwa juu ya mwanamke,jasho ,udende,makelele sijui mwili unakakamaa kama unakata roho tendo Hilo ukilifanya kwa miaka 30 huwezi kuwa hai ! Wanawake wao wanapokea lakini sisi ndio tunaosulubika ! Kukojoa tu pekee ni kutoa damu x miaka 30 utakuwa hai ? Ndio maana sasa Mimi nimemwambia mke wangu nikifikisha miaka 47 na sasa Nina 45 sifanyi tendo la ndoa Tena iwe ndani au nje ya ndoa napumzisha viungo vya mwili wangu ! Akawanyonye damu wengine
Life Expectancy Ya Ki bongo bongo Ushazeeka, Kula Bupa Life Is Too Short. Raia watachangamkia Fursa.nikifikisha miaka 47 na sasa Nina 45 sifanyi tendo la ndoa Tena iwe ndani au nje ya ndoa napumzisha viungo vya mwili wangu !
Daah mazee mna kitabu kabisa humo kimejaa madini yenu na mifano ya kutosha..KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
View attachment 3245514
Swala la wanaume kufa mapema sio sababu za kiafya wala nyinginezo kikubwa ni umri na kazi ngumu tunazofanya kwa mfano angalia age difference ya manara na zai lisa ni kama 20+ years sasa hapo kihesabu mwanaume lazima aondoke mapema au angalia mamy baby na yule mume wake nimekutajia watu maarufu ili uelewe.Leo nimeamka chupa imejaa chai ! Baada ya kutafakari kwa kina wanaume kwanini tunatangulia kufa kabla ya wanawake nikagundua tunafanya ngono sana na kupunguza miaka yetu ya kuishi ,hebu fikiria patashika ya mwili pale unapokuwa juu ya mwanamke,jasho ,udende,makelele sijui mwili unakakamaa kama unakata roho tendo Hilo ukilifanya kwa miaka 30 huwezi kuwa hai ! Wanawake wao wanapokea lakini sisi ndio tunaosulubika ! Kukojoa tu pekee ni kutoa damu x miaka 30 utakuwa hai ? Ndio maana sasa Mimi nimemwambia mke wangu nikifikisha miaka 47 na sasa Nina 45 sifanyi tendo la ndoa Tena iwe ndani au nje ya ndoa napumzisha viungo vya mwili wangu ! Akawanyonye damu wengine
Ndo ukaamua uje utupe na sisiLeo nimeamka chupa imejaa chai !
Naam, tuna katiba na viongozi pia.Daah mazee mna kitabu kabisa humo kimejaa madini yenu na mifano ya kutosha..
HeheheAkawanyonye damu wengine
shemela Mimi hata 80 safi tu 😂 😂Waulize wenzio wa 45+ how they feel about sex.
Tena unakuta mtu kishajipata weeeee!
Sisi wanawake kuanzia 30 mambo ni lelelele hadi before menopause, men in 30s bado mna stress nyingi, ndio nadhani ukaja msemo wa life starts at 40.
Hii ni tabia ya mashoga, pole yake huyo anayemwita mke wako. Umetumika kwa miaka ngapi badi Leo hii Hadi unaomba body rebuild?Leo nimeamka chupa imejaa chai ! Baada ya kutafakari kwa kina wanaume kwanini tunatangulia kufa kabla ya wanawake nikagundua tunafanya ngono sana na kupunguza miaka yetu ya kuishi ,hebu fikiria patashika ya mwili pale unapokuwa juu ya mwanamke,jasho ,udende,makelele sijui mwili unakakamaa kama unakata roho tendo Hilo ukilifanya kwa miaka 30 huwezi kuwa hai ! Wanawake wao wanapokea lakini sisi ndio tunaosulubika ! Kukojoa tu pekee ni kutoa damu x miaka 30 utakuwa hai ? Ndio maana sasa Mimi nimemwambia mke wangu nikifikisha miaka 47 na sasa Nina 45 sifanyi tendo la ndoa Tena iwe ndani au nje ya ndoa napumzisha viungo vya mwili wangu ! Akawanyonye damu wengine
Shem shem wewe tena!shemela Mimi hata 80 safi tu 😂 😂
Atafurahiaje wakati yeye ndo anafurahiwa huko mtaani?Miaka 47 too young.
Hiyo ndiyo miaka ya kufurahia maisha
KATAA NDOA ni sera tu inayo kataa ndoa zenye kubinya maslahi ya mwenza.Shem shem wewe tena!
But we ni kataa ndoa, at 80 inabidi uwe na kibunda cha kutosha kuimport na kuexport ile kitu….!