Nimemwambia mke wangu nikifikisha miaka 47 naacha kufanya tendo la ndoa napumzisha mwili wangu ili kuongeza siku zangu za kuishi

Leo nimeamka chupa imejaa chai ! Baada ya kutafakari kwa kina wanaume kwanini tunatangulia kufa kabla ya wanawake nikagundua tunafanya ngono sana na kupunguza miaka yetu ya kuishi ,hebu fikiria patashika ya mwili pale unapokuwa juu ya mwanamke,jasho ,udende,makelele sijui mwili unakakamaa kama unakata roho tendo Hilo ukilifanya kwa miaka 30 huwezi kuwa hai ! Wanawake wao wanapokea lakini sisi ndio tunaosulubika ! Kukojoa tu pekee ni kutoa damu x miaka 30 utakuwa hai ? Ndio maana sasa Mimi nimemwambia mke wangu nikifikisha miaka 47 na sasa Nina 45 sifanyi tendo la ndoa Tena iwe ndani au nje ya ndoa napumzisha viungo vya mwili wangu ! Akawanyonye damu wengine
Kuna mzee wa kimasai kafa juz kati alikuwa na miaka 115 na wake 15
 
unafikisha miaka 48 unakufa kwa ajali...
 
Leo nimeamka chupa imejaa chai ! Baada ya kutafakari kwa kina wanaume kwanini tunatangulia kufa kabla ya wanawake nikagundua tunafanya ngono sana na kupunguza miaka yetu ya kuishi ,hebu fikiria patashika ya mwili pale unapokuwa juu ya mwanamke,jasho ,udende,makelele sijui mwili unakakamaa kama unakata roho tendo Hilo ukilifanya kwa miaka 30 huwezi kuwa hai ! Wanawake wao wanapokea lakini sisi ndio tunaosulubika ! Kukojoa tu pekee ni kutoa damu x miaka 30 utakuwa hai ? Ndio maana sasa Mimi nimemwambia mke wangu nikifikisha miaka 47 na sasa Nina 45 sifanyi tendo la ndoa Tena iwe ndani au nje ya ndoa napumzisha viungo vya mwili wangu ! Akawanyonye damu wengine
Nimekuelewa fact yako, Waweza jifunza kufanya tendo bila kutoa mbegu zako kwa huu muda waweza jifunza hili. Usiniulize how? It's possible.
 
Leo nimeamka chupa imejaa chai ! Baada ya kutafakari kwa kina wanaume kwanini tunatangulia kufa kabla ya wanawake nikagundua tunafanya ngono sana na kupunguza miaka yetu ya kuishi ,hebu fikiria patashika ya mwili pale unapokuwa juu ya mwanamke,jasho ,udende,makelele sijui mwili unakakamaa kama unakata roho tendo Hilo ukilifanya kwa miaka 30 huwezi kuwa hai ! Wanawake wao wanapokea lakini sisi ndio tunaosulubika ! Kukojoa tu pekee ni kutoa damu x miaka 30 utakuwa hai ? Ndio maana sasa Mimi nimemwambia mke wangu nikifikisha miaka 47 na sasa Nina 45 sifanyi tendo la ndoa Tena iwe ndani au nje ya ndoa napumzisha viungo vya mwili wangu ! Akawanyonye damu wengine
Sijui kama wewe ni mzima downstairs mwanangu. Huo umri, kwanza, hata kufanya kwenyewe hujui. Life starts at 40.
 
Back
Top Bottom