Nimemwambia mke wangu nikifikisha miaka 47 naacha kufanya tendo la ndoa napumzisha mwili wangu ili kuongeza siku zangu za kuishi

Ningekuwa mimi ndo wifi ningekubaka ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃalfu ukashitaki ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Ningekuwa mimi ndo wifi ningekubaka ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃalfu ukashitaki ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Watu kumbe mnadinyana eeh, tusione mnaandika hapa kumbe mtu katoka kujigjig. Basi watu wanapenda sana haya mambo.
 
Unabidi kupunguza na sio kuacha kabisa maana utaweka ndoa yako rehani Ila kubwa kuliko yote fanya semen retention
 
Hujaudhuria kikao cha mwisho cha wanaume wenzio...

Mwanamke wakati huo ndo anakuwa na njaa ya kula chakula...wakati hotpot umeficha...

Utasaidiwa sana...
 
Ukitaka kujua ni moja ya kazi ngumu. Hapo kitandani fanya kama unapiga mashine mwanamke. Huwezi kutoboa kwa dk 5 kiuno kinauma balaa.
Ndiyo maana tunakufa mapema๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Wacha woga piga mbunye kama ni hivyo mahanithi wangeishi miaka mia na zaidi.
 
Kulanina ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
47 ya Zimbabwe? Km ni Bongo mbna ndo wakati wa kusimamia kucha kwa sanaa..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ