Nimemwambia nibebee Mimba ili nikuoe hataki

You means single Maza siyo? Mkuu hebu kuwa seriouse
 
Sawa mkuu nashukuru kwa hii hoja yako acha niendelee kupma maji bahari kwa kijiti
 
Mkuu umenitusi kisailensa
 
Hata hivyo una mdomo mchafu, mwanaume gani una maneno magumu kiasi hicho? Ati atajaza choo? Na wewe utakuwa unajisaidia wapi?
Lugha chafu ipi nimetumia mkuu?
Wee hujui maana ya kujaza choo au unadhani ni kwenda tuuu chooni.
 
Kauli kama hii hutolewa na washenzi wa tabia....Hujui zama hizi wanaume wajaza choo wameongezeka...

Jiangalie
Mkuu tambua kupanga nikuchagua au unataka niingie mkenge nianze kuzunguka kwa waganga
 
Mwanangu hukutumia busara. Ulidhani yeye ni kifaa na si mtu? Kama unamaanisha usemacho, kwanini usioe na kuzaa kukafuatia? Hivi baba yako angemzalisha mama yako bila ndoa si ungekuwa mwanaharamu wewe?
Mkuu mimi nimtoto wa nje ya ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…