Nimemwambia nibebee Mimba ili nikuoe hataki

Hayo ni mawazo finyu ya vijana wa Dot.com! Sisi wa zamani tulioa bila kufanya uasherati kama huo, na tuliwakuta wanawake wako vizuri,kitandani,mapishi,heshima,kazi nk
Wewe unafikiri wanawake ni karanga za kuonjwa kabla hujanunua?
 
"Tasa mjaza choo" ? mwanangu una akili chafu kichizi....
 
Mahusiano ya sasa hivi ni drama toshaah, eti na huyu nae ana partner [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu nauwezo wakukuhudumia wewe na familia yako kwa ujumla
 
Hayo ni mawazo finyu ya vijana wa Dot.com! Sisi wa zamani tulioa bila kufanya uasherati kama huo, na tuliwakuta wanawake wako vizuri,kitandani,mapishi,heshima,kazi nk
Wewe unafikiri wanawake ni karanga za kuonjwa kabla hujanunua?
Hapo mwisho nakazia mkuu
 
These kind of people are disgrace to man kind
Mkuu kila mwanaume au mvulana anamaamuzi yake siwezi kufuata procedure yako ktk maisha kila mtu ana kanuni yake ya maisha
 
Mkuu vipi una hata mtoto wa kusingiziwa ,
Maana hata sisi wanaume pia tunaweza kuwa tatozo,hivyo nakushauri kama amekidhi vigezo uvitakavyo oa ila usihukumu pasipo kuthibitisha
 
Mfano angekuwa ni dada yako/mdogo wako wa kike au binti yako, ungeruhusu aje mwanaume aseme amtie ujauzito kwanza ndipo amuoe au raha kwako ni kuona dada na watoto wa watu wa kike wanaharibiwa bila kuwa na mipango ya maisha inayoeleweka.

Kwanza wewe unaonekana ni mwizi tu wa mapenzi, mtoto wa watu unataka awe incubator ya watoto wako halafu yeye ni vipi?!

So ikitokea wewe hauna uwezo wa kupata watoto it means hautakuwa na haki ya kuwa na mwanamke atakaekuwa na wewe kimahusiano au?!
 
Atolewe kabisa takataka huyu
 
We kweli Akili hunaa...unamwambia hivo kabisaa...Mjengeee uaminifu akuamini then Tia mimba kimya kimya halafu akishakwambia tu kuwa ana mimba husikawie anza process apo apo ili uzidi kumjengea imani ila sio kuja apa kulalamika
Hakuna muoaji hapo. Unaoa mtu sababu unataka akubebee ujauzito, tabia za wapi hizo?!
 
Ili akishazaa umuite single mama?.
Wanaanza hivi hivi, na mabinti wa siku hizi wasivyojielewa utaona mtu wa hivi ndio anamkubalia anampa mchezo bila shida na kumuacha awe ndio mwanaume wake, hapo akishatest mitambo anamwambia tena atoe ili amle hadi atapochoka kisha amuache.

Aiseee kuna watu ni takataka
 
Mwanamke mwenye akili kabla ya kuzaa na mtu huwa anachunguza mtu , hupanga na kufanya maamuzi ni mtu wa namna gani anataka awe Baba wa watoto wake. Wanawake wanaangalia mwanamme awe na akili , pesa, nguvu, heshima, wadhifa, mcha Mungu, hadhi, mitazamo ya imani za kisiasa au kidini. Inaweza ikawa vigezo viwili au vitatu kutegemeana na anachokitafuta.

Na anapochagua anaangalia kama mwanamme atakuwa baba mwenye genes (jeni?) bora zaidi kwa watoto wake na nafasi nzuri ya watoto kuishi na uwezo wa kuendeleza genes vizazi na vizazi.

Kwahiyo huyo sio mjinga amekuchunguza amekuona sio chaguo la uzao wake. Tafuta wa kufanana nae.
 
Mbona umetukana na kutotumia lugha isiyo na staha kabisa. Kusema matasha wajaza vyoo. Is not good language Kwa mtu anayejulielewa.
 
kwa akili hiyo wewe ndo mjaza choo, kwanza hata nguvu za kiume huna!
 
Yani kwa kauli hiyo atakae kubali kuolewa na wewe nae apimwe akili. Hivi ikitokea ukapata ajali au ugonjwa ukaadhiri mifumo yako ya uzazi ushindwe kumpa mwanamke ujauzito utaweka wapi sura yako?
Tasa na wasio tasa wote wameumbwa na Mungu.
Wewe omba Mungu akupe mwenza sahihi na ndoa yenye Furaha baraka ya watoto itakuja tu,usimpangie Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…