Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Kuna mahali nimezungumzia maandamano hapo??Hivyo maandamano yaendelee...
Duh ...!.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mahali nimezungumzia maandamano hapo??Hivyo maandamano yaendelee...
Duh ...!.
P
Kwanini mnamlaumu tu Freeman Mbowe?No question about it!
Ilikuwa ni ' naivety' wala haikuhitaji 'political savvy'
Mbowe hatumia 'turufu' ku-force CCM badala yake akawa Submissive.
CCM haijawahi kuwa na nia njema, kuna historia ya kutosha nchini ikiwemo ya 'maridhiano' Zanzibar.
Mbowe alishaingia maridhiano 'Mwanza kwa Magufuli' kilichofuata historia.
Kufungwa ilikuwa siasa kwasababu ya nguvu iliyokuwa nyuma ya Mbowe kudai Katiba mpya.
Kikosi kazi kiliundwa ili kupoteza Rasimu ya Warioba na kupoteza habari za CDM.
SSH akajua ili kufanikisha lengo la Kikosi kazi lazima lazima amwachie Mbowe, akamwachia.
Hii ilikuwa turufu ya kwanza kwamba Mbowe na Chadema walikuwa na 'upper hand'
Kitendo cha kumtoa Magereza na kumwita Ikulu ilikuwa kumnyamazisha na kumfanya 'sehemu' ya mchakato.
Mbowe bila kujiuliza akaenda akiwa na kila sababu za kukutana na watu wake kwanza ili kumarisha nguvu.
Mbowe alipaswa kuonyesha ni 'force to reckon with'' hakutumia fursa hiyo, akaamua kuwa submissive
Hakuna mtu aliyekubali kitendo kile, Mbowe akamwaga 'cold water' katika harakati na siasa za nchi.
Haikuhitaji elimu , ujuzi au uzoefu , ilikuwa ni busara tu kuona CCM ni laghai, historia ipo wazi maktaba
Mbowe alipaswa kuweka 'bargaining chip' mezani, hakuweka akaamini 'mama ana nia njema.
Kwanza, ' COVID-19' waondolewe. Pili, mazungumzo kwa 'vipindi vya miezi 3' na utakalezaji wa kila hatua ukamilike kabla ya hatua nyingine.
Mwenyekiti wa CDM hakufanya akaamini nia njema, leo nikimsikia anasema 'hana imani na SSH na CCM' namshangaa, wao wamefanya walichokusudia na kufanikiwa, hawahitaji Imani ya Mbowe.
Cry wolf
Mkuu Mayor Quimby , kwanza asante for being mchangiaji most objective kwa kuja na vifungu. Ibara ya 5 inahusu tuu haki ya kupiga kura, the right to vote, the right to choose.Baada ya kusikiliza michango yako na ibara za katiba unazodai zimepokwa haki na sheria ya uchaguzi kwa wagombea huru sio lazima wawe na chama.
View attachment 2871056
Ibara ya 5 unayo refer aina literal ambiguity zozote, hakuna mahala inaongelea wagombea isipokuwa haki za kupiga kura tu. Moreover imeacha nafasi ya hizo haki hizo kanuni zake kutungiwa sheria na bunge.
kulazimisha mtu kuchaguliwa ni lazima adhaminiwe na chama cha siasa, ni kinyume cha Ibara ya 11 ya katiba!. Huu ni ubaguzi kuwabagua watu wote wasio na vyama, na ili kugombea unalazimishwa lazima ujiunge na chama cha siasa!.Kwa hivyo hata kama ibara ya 5 ingekuwa inaongelea haki za kugombea (kitu ambacho sio sahihi kama unavyodai) bado katiba imetaja tu mtu huyo awe na miaka 18, lakini bunge limepewa rungu la kutunga kanuni za ushiriki wake likisema mtu ili agombee lazima apitie chama cha siasa hakuna katiba iliyovunjwa hapo.
View attachment 2871058
Shurti la kudhaminiwa na chama cha siasa ni shurti batili kinyume cha katiba.Ibara ya 21 inaongelea uhuru wa kushiriki shughuli za umma, either kwa kuchaguliwa na wapiga kura, kuteuliwa au kwa ku support mtu (hapo kwenye ku support mtu ndio ibara ya 5 inapoingia) lakini hii ibara aisemi haki ya kuwa na mgombea independent. Imeenda mbele zaidi hata hizo haki zinazotelewa kwenye ibara hazipo juu ya ibara 5, 39 na 67.
View attachment 2871059
Ibara ya 67 ipo wazi ili ugombe nafasi ya ubunge lazima uwe na miaka 21 na kupitia chama cha siasa, hakuna mgombea huru na wala hii ibara aijikanganyi na ibara nyingine yeyote.
Hapa ndio kwenye mtihani mkubwa kabisa wa kujua mtunga katiba ilidhamiria nini, mtunga katiba alikuwa na dhima ya kila Mtanzania kuwa na haki ya kuchagua na kuchaguliwa bila kulazimishwa kudhaminiwa na chama cha siasa. Nimejitolea kuendesha darasa la dhima ya mtunga katiba. Ijue Katiba kwa Jicho la Mtunga Katiba: Mtunga Katiba alimaanisha nini aliposema "Katiba ni Sheria Mama"? Ni kweli Katiba ni Sheria Mama?Ibara ya 5 inaelezea haki za kupiga kura
Ibara ya 21 inaelezea haki ya kushiriki shughuli za umma bila ya kuathiri ibara 5, 39 na 67 (ambayo inaelezea sifa za mgombea).
Sasa basi hypothetically ingekuwa kweli ibara ya 5 imeelezea haki za kugombea (kitu ambacho sio kweli) wewe kusema waandishi wakatiba walikusudia nini ili kuonyesha ambiguous ndani ya katiba mahakamani ungeombwa upeleke ushahidi wa hansards za michango ya bunge kuonyesha kweli lengo la ibara ya 5 lilikuwa kutoa haki kwa wagombea huru.
Kwenye issues za katiba, mfano hapa Ijue Katiba kwa Jicho la Mtunga Katiba: Mtunga Katiba alimaanisha nini aliposema "Katiba ni Sheria Mama"? Ni kweli Katiba ni Sheria Mama? I might be right, Serikali, Bunge, Mahakama, they may all be wrong!.Uwezi kutoa tu kichwani kwako kwa sababu umesoma sheria na kudhani hiyo ndio sheria.
JPM alikuwa ni habari ingine!, usikute huu ulikuwa ni utekelezaji wa ushauri huu Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria, ongoza kwa 'presidential decrees'! angalia ulitolewa lini!.Haya ndio mambo Magufuli hakutaka ya kuchekeana na upinzani wao mradi wapinge tu, na kupotezeana muda na hela kwenye kujenga nchi. Hata ukisikiliza hizo za CDM, ACT na wengineo for the most part ni nonsense tupu, ambazo Magufuli hakuwa na muda wa ku-entertain.
Kwenye hili nakubaliana kabisa na wewe.Ukiwasikiliza wanasheria wa Tanzania hakuna kesi ya kushinda ulaya, labda yule jamaa au sijui taasisi iliyokuwa na website ya ‘Jaba-Shadrack’ waliobaki hamna kitu.
Karibu Maandamano ni Haki ya Vyama vya Siasa, Serikali itoe kila ushirikiano kwa CHADEMA hata kama uelekeo ni IkuluHeading yako tu imekaa kipuuzi. Uko upande wa Serikali kupinga maandamano ya amani. No wonder huoni tatizo wanajeshi kutumiwa kwenye siasa za ndani ya Nchi. Ningekuheshimu kama usingekuwa mnafiki.
Yes katiba ni kijitabu tuu so does The Bible and Quran, vyote ni vijitabu tuu ila ndio kila kitu!.Si tulikubaliana katiba ni kijitabu tu?🤣
No 4R za Rais Samia is real, ila Utekelezaji wake ndio issue!.Utasongaje mbele wakati Samia 4R hazitekelezi ila ni gheresha tu?
Duh...!. Naomba niheshimu mawazo yako, ila pia karibu hapa Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza! kisha fungus link HII kisha uniambie mtu anayetafuta uteuzi kwa mteuzi anaweza kuandika hivyo?.Think deep, you shuld no think while anticipating to please samia for a nomination!...... unatafuta uteuzi tu.
Mbona they are working perfectly!.Mtu anakudanganya na wewe unakuwa zuzu eti kuna R4 ambazo ni cosmetic tu na mwenye kuzipendekeza hazitekelezi. Unaona kabisa kuwa huyu anataka kuwatoa kwenye reli..
OK nitamtafuta na kukuletea mujibu hapa!.SWALI: SAMIA ANAONA UGUMU GANI KULETA KATIBA MPYA? KUANDIKA MISWADA KAMA WADAU WALIVYOSHAURI? ANAOGOPA NINI? KUNA MADHARA GANI? Mpelekee maswali hayo akupe majibu utuletee hapa Pascal Mayalla
Kuna vitu technical hata wajuzi hawavijui, kama wanasheria ma nguli wabobezi na wabobevu wameshindwa kubaini kuwa wametunga muswada batili, wakapeleka bungeni kwenye wanasheria manguli wabobezi na wabobevu nao wakishindwa kubaini ubatili wake, Bunge likatunga sheria batili!, so what are the chances kwa a layman kama Rais Samia?.Umeongea uongo. Process za kutunga miswada lazima zipite kweñye Baraza la mawaziri. Sasa utasemaje Rais hajui wakati ndio mwenyekiti wa Baraza la mawaziri.
Yes that has happened not once not twice, several times!, ila sio Rais Samia. Kama Bunge litaendelea kuitunga sheria batili hii, Rais Samia ataisaini faster, kisha tutakuja kukutana Mahakamani!.Ikiwa unaamini Mh Raisi aliweka Saini katika muswada ambalo haujui ndani yake ulivyo, huku mawaziri wakijua kilichopo, basi hakuna budi kuamini kwamba nchi haina kiongozi.
Asante nimekusikiaNinyi watanzania wenyewe kwa ujinga wenu, njaa au unafiki ndio kikwazo cha maendeleo yenu!
Eti Tundu Lissu anamtukana Samia. Kipi alichotukanwa!? Kuambiwa ukweli ni kutukanwa!? Hii Katiba ya kipuuzi ya ccm imefanya Rais aonekane mungu mtu fulani hivi na akikosolewa inakuwa katukanwa. Acheni unafiki.Mbowe kaingia kwenye mtego WA maadui wa Samia halafu anakuja kumlaumu Samia?
Sio yeye aliepewa "agenda ya bandari za watanganyika" akaibeba Kwa mikono miwili?
Yeye alifikiri waliompa hiyo agenda Wana plan gani?..hajui plan ilikuwa kumuweka mbali kabisa na Rais Samia na wamefanikiwa?..
Yeye Mbowe aliposema eti usalama wa Taifa wamemuelekeza apiganie "bandari za watanganyika" hakujiuliza hao usalama wa Taifa walikuwa wapi wakati Ben Saanane anapotea?walimueleza hata alipozikwa?...
Sasa why maandamano? Why asisubiri maelekezo mengine ya hao alio claim ni "usalama wa Taifa"...?
Binafsi nilishasema humu wameacha agenda Yao ya Kariba mpya na maridhiano...wakadaka agenda za "kundi lenye agenda zake"...wakakubali kugeuzwa "pressure group""...
Mbowe alikaa kimya hata wakati Tundu Lissu anamtukana hadharani Samia.....kumbe yote hiyo ni agenda za watu....wametumika now hakuna wa kuwasililiza...wanataka kujaribu maandamano knowingly very well hakuna watakachopata.....siasa za kuwa pressure group zilishafeli....
Hii thread umeandika baada ya comment yangu. Watu kama nyie nawajua. Kaka acha kuishi kizamani Tanzania itaendelea bila CCM.
Safi sana kwa kuliona hili. Hii nchi ina wajinga wengi sana Aisee! Mazuri yananasibishwa na Rais ila mabaya wanasukumiwa wasaidizi, Hawa wapuuzi sijui wanatuonaje!?Mimi mnanishanagaza watu wa Tanzania hii. Sifa nzuri nzuri anayepongezwa ni rais. Mfano utasikia, TRA imevuka lengo la makusanyo. Rais Samia apewe sifa. Mara sijui umeme wa uhakika, rais apewe sifa.
Ila zikika sifa mbaya za serikali mnataka kumtenganisha na sifa hizo. Kwangu ukisema yeye si mwanasheria anaweza kuwa hajui ubatili wa katiba si utetezi maana rais hatutegemei ajue kila kitu ila kazungukwa na wataa ambao inapaswa awatumie.
Mbowe kavuna alichopanda taingia mwanzo yale maridhiano yalikuwa ni janja janja tu.
Maridhiano ilikuwa ni marekebisho ya katiba si kuitwa ikulu upewe fadhila.
Mtu akikupa fadhila kesho anaweza zichukua kama ambavyo wana ccm mnadai kuruhusu mikutano ya kisiasa ni huruma ya rais Samia kwa wapinzani
Wanabodi,
Nimemsikiliza Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe katika bandiko hili Mbowe: Najutia kumuamini Rais Samia
View: https://youtu.be/Xjao83Ghy04?si=qSQTeSxIx_8B5a-L
Kiukweli kabisa mimi nimemwelewa sana Mwenyekiti Freeman Mbowe hapa, na hata ningekuwa mimi!, I would have felt the same, but not done the same, I would have done something worthwhile but not maandamano!.
Namuomba sana Mhe. Mbowe, please usipoteze imani na Rais Samia!, kwasababu Rais Samia ninaye mfahamu mimi, sio mtu mwenye ndimi mbili!, namfahamu fika Rais Samia kwa kauli na matendo, yeye kama yeye, hawezi kabisa kusema hivi haiafu akaja kutenda vile!. She is straightforward person and firm, tena usikute yeye kwa intellect yake, japo ndie aliyeongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichopitisha miswada hiyo lazima ukakuta yeye wala hajui kuwa mswada sheria ya uchaguzi una ubatili ulioshabatilishwa na Mahakama Kuu kwasababu yeye sio mwanasheria!.
Japo miswada yote ya serikali, lazima ipite Baraza la Mawaziri ijadiliwe, wakati mswada huu wa sheria ya uchaguzi unajadiliwa, hakuna mtu yeyote mule akiwemo AG, aliyemwambia ukweli Rais Samia kuwa muswada huo una ubatili!, hivyo mtu ambaye sii mwanasheria hawezi kuujua ubatili wa kisheria kwenye vipengele vya miswada mpaka aelezwe na wanasheria!. Hivyo kwa intellect ya Rais Samia, kumlaumu kwa kutoyajua haya ni kumuonea bure!.
Kwa bahati nzuri, mimi ni miongoni wa watu wanaomfahamu Rais Samia sio tuu kwa kauli na matendo, bali kwa kufanya nae mahojiano ya ana kwa ana mara mbili. Mara ya kwanza akiwa Waziri Ofisi ya Makamo wa Rais na mara ya pili akiwa Makamo Mwenyekiti wa Bunge la Katiba.
Wakati akiwa VP nilimfanyia uchambuzi mara mbili
Mara ya kwanza ni hapa Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” na mara ya pili ni hapa "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
Na baada ya kuwa Rais wa JMT, pia nilimfanyia uchambuzi mara mbili Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila... na Ili kupata Viongozi Bora baadae, Watanzania tujifunze kuwasoma watu kwa asili zao. Mjue Samia alivyo kwa asili yake
Hivyo kwa kauli na matendo, ya Rais Samia, hiki kinachofanyika kwenye miswada hii, naamini kabisa sio yeye, bali waonayafanya haya ni wanasheria, waojua fika ubatili wa muswada huu, lakini wametake advantage ya intellect yake Rais Samia kumsokomezea ubatili tena, ikapelekwa Bungeni, itapitishwa, na kutungwa sheria batili, kisha Rais Samia ataisaini kuanza kutumika, kwa excuse kuwa batili hiyo kwa vile iko kwenye katiba yetu!, then ni batili halali!. Kisheria, batili ni batili, hata ikichomekewa kwenye katiba kiubatili, bado inabaki ni batili, na badala ya kuihalalisha haramu kwa kuichomekea kwenye katiba, haramu hiyo inaiharimisha katiba na kuibatilisha katiba kwa kuifanya kuwa na unajisi!.
Mimi naamini kabisa kwa haya yanayofanyika kuhusu Muswada huu, huyu sio Rais Samia ninaye mfahamu mimi, na naamini kabisa yeye wala hajui kuwa muswada wa sheria ya uchaguzi ni muswada wenye ubatili unaokiuka ibara ya 11 ya katiba ya JMT na kuathiri ibara ya 5, ibara ya 21, ibara ya 39 na ibara ya 67.
Kwa vile yeye sio mwanasheria, hajui kuwa katiba yetu ina ubatili, uliochomekewa kiubatili na awamu zilizopita na Bunge lilolopita unakokwenda kinyume cha Ibara ya 5, ibara 21, ibara ya 39 na ibara ya 67 za Katiba ya Tanzania ya mwaka 1977.
Nimesema ninaamini kabisa Rais Samia hayajui haya na hapa niliandika Madudu ya ajabu ya ubatili wa Katiba yetu, mabadiliko "fake" ya sheria na Tume ya Uchaguzi, Rais Samia asilaumiwe kwasababu yeye sio mwanasheria!.
Hivyo kitendo cha Freeman Mbowe Kutomwamini Rais Samia, ni kumuonea bure, niliwahi kushauri Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda, ila kama Freeman Mbowe anaona muda aliompa kwenye vikao vya maridhiano unatosha, sasa ndio aanzishe maandamano, huku sio kumtendea haki, namshauri Mbowe, aichukulie miswada hii kama fursa, afanye uhamasishaji na uelimishaji umma wa kufa mtu kwa Watanzania kwa ku invest in people, grassroot people kuhusu haki zao, ili Watanzania kwa mamilioni wajitokeze wajiandikishe kwenye daftari la kudumu la wapiga kura, na 2025 wajitokeze kwa wingi wawapumzishe watu kwa amani kupitia sanduku la kura na sii kupitia maandamano!.
Bahati nzuri sana na mimi nimehudhuria vikao vyote vitatu vya kukusanya maoni ya wadau na mara zote 3 nilipata bahati ya kuchangia.
Mchango wangu kikao cha kwanza ni huu
View: https://youtu.be/PBpjDhH2XiA?si=9dtqZ-1-ZkzWo69t
Mkutano wa pili maoni yangu ni haya
View: https://youtu.be/3a4SjkV46JY?si=98HTkiMGNsmlLBGz
Na Mkutano wa tatu wa Kamati ya Bunge pia nilitoa maoni.
Nimeandika makala zifutazo kuhusu sheria hizi
Mbowe kutangaza maandamano nimetoa ushauri issues za kisiasa zitatuliwe kisiasa, halafu issues za kisheria zitatuliwe kisheria, utungaji miswada ni issue ya kisheria, baada ya watu kutoa maoni yetu, Bunge likitutungia sheria batili, this time around, we'll have to do something!.
Tangu Rais Samia ameingia madarakani ile March 21, 2021, mimi tuu mwenyewe, nimelisemea jambo hili la katiba, sheria na haki zaidi ya mara 100!,
Mhe. Freeman, rudisha moyo, applies zile 4R za Rais Samia tulisongeshe mbele kwa mbele.
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali.
Watumishi wote wa umma, muajiri wao ni rais wa JMT na kila wachofanya wanafanya kwa niaba ya rais.Mimi mnanishanagaza watu wa Tanzania hii. Sifa nzuri nzuri anayepongezwa ni rais. Mfano utasikia, TRA imevuka lengo la makusanyo. Rais Samia apewe sifa. Mara sijui umeme wa uhakika, rais apewe sifa.
Ndivyo katiba yetu inavyoelekeza, rais hakosei na hashitakiwi!.Ila zikika sifa mbaya za serikali mnataka kumtenganisha na sifa hizo.
yes ila waliomzunguka, hawamwambii ukweli kuwa muswada huo una ubatili.Kwangu ukisema yeye si mwanasheria anaweza kuwa hajui ubatūili wa katiba si utetezi maana rais hatutegemei ajue kila kitu ila kazungukwa na wataa ambao inapaswa awatumie.
Duh...!Mbowe kavuna alichopanda taingia mwanzo yale maridhiano yalikuwa ni janja janja tu.
Duh ...!Maridhiano ilikuwa ni marekebisho ya katiba si kuitwa ikulu upewe fadhila.
Hili neno!. Nimelizungumza hapa Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga. Kuzuiwa bila kifungu, kuruhusu bila Kifungu. Ni hisani ya Rais Samia. Haki kuhisaniwa hadi lini?Mtu akikupa fadhila kesho anaweza zichukua kama ambavyo wana ccm mnadai kuruhusu mikutano ya kisiasa ni huruma ya rais Samia kwa wapinzani
Punguza ujinga. Miaka yote ccm inaongoza wameiba fedha kiasi Gani na wamechukuliwa hatua Gani!? Unakuja kulaumu wapinzani waliofanya kazi kubwa ya kuonesha wezi wa ccm wanavyoitafuna nchi.! Akili Yako itakuwa ina matatizo. Kapambane kwanza na wale wanaosema "wema hawafi"Baada ya kusikiliza michango yako na ibara za katiba unazodai zimepokwa haki na sheria ya uchaguzi kwa wagombea huru sio lazima wawe na chama.
View attachment 2871056
Ibara ya 5 unayo refer aina literal ambiguity zozote, hakuna mahala inaongelea wagombea isipokuwa haki za kupiga kura tu. Moreover imeacha nafasi ya hizo haki hizo kanuni zake kutungiwa sheria na bunge.
Kwa hivyo hata kama ibara ya 5 ingekuwa inaongelea haki za kugombea (kitu ambacho sio sahihi kama unavyodai) bado katiba imetaja tu mtu huyo awe na miaka 18, lakini bunge limepewa rungu la kutunga kanuni za ushiriki wake likisema mtu ili agombee lazima apitie chama cha siasa hakuna katiba iliyovunjwa hapo.
View attachment 2871058
Ibara ya 21 inaongelea uhuru wa kushiriki shughuli za umma, either kwa kuchaguliwa na wapiga kura, kuteuliwa au kwa ku support mtu (hapo kwenye ku support mtu ndio ibara ya 5 inapoingia) lakini hii ibara aisemi haki ya kuwa na mgombea independent. Imeenda mbele zaidi hata hizo haki zinazotelewa kwenye ibara hazipo juu ya ibara 5, 39 na 67.
View attachment 2871059
Ibara ya 67 ipo wazi ili ugombe nafasi ya ubunge lazima uwe na miaka 21 na kupitia chama cha siasa, hakuna mgombea huru na wala hii ibara aijikanganyi na ibara nyingine yeyote.
Ibara ya 5 inaelezea haki za kupiga kura
Ibara ya 21 inaelezea haki ya kushiriki shughuli za umma bila ya kuathiri ibara 5, 39 na 67 (ambayo inaelezea sifa za mgombea).
Sasa basi hypothetically ingekuwa kweli ibara ya 5 imeelezea haki za kugombea (kitu ambacho sio kweli) wewe kusema waandishi wakatiba walikusudia nini ili kuonyesha ambiguous ndani ya katiba mahakamani ungeombwa upeleke ushahidi wa hansards za michango ya bunge kuonyesha kweli lengo la ibara ya 5 lilikuwa kutoa haki kwa wagombea huru.
Uwezi kutoa tu kichwani kwako kwa sababu umesoma sheria na kudhani hiyo ndio sheria.
Haya ndio mambo Magufuli hakutaka ya kuchekeana na upinzani wao mradi wapinge tu, na kupotezeana muda na hela kwenye kujenga nchi. Hata ukisikiliza hizo za CDM, ACT na wengineo for the most part ni nonsense tupu, ambazo Magufuli hakuwa na muda wa ku-entertain.
Ukiwasikiliza wanasheria wa Tanzania hakuna kesi ya kushinda ulaya, labda yule jamaa au sijui taasisi iliyokuwa na website ya ‘Jaba-Shadrack’ waliobaki hamna kitu.
Wanabodi,
Nimemsikiliza Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe katika bandiko hili Mbowe: Najutia kumuamini Rais Samia
View: https://youtu.be/Xjao83Ghy04?si=qSQTeSxIx_8B5a-L
Kiukweli kabisa mimi nimemwelewa sana Mwenyekiti Freeman Mbowe hapa, na hata ningekuwa mimi!, I would have felt the same, but not done the same, I would have done something worthwhile but not maandamano!.
Namuomba sana Mhe. Mbowe, please usipoteze imani na Rais Samia!, kwasababu Rais Samia ninaye mfahamu mimi, sio mtu mwenye ndimi mbili!, namfahamu fika Rais Samia kwa kauli na matendo, yeye kama yeye, hawezi kabisa kusema hivi haiafu akaja kutenda vile!. She is straightforward person and firm, tena usikute yeye kwa intellect yake, japo ndie aliyeongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichopitisha miswada hiyo lazima ukakuta yeye wala hajui kuwa mswada sheria ya uchaguzi una ubatili ulioshabatilishwa na Mahakama Kuu kwasababu yeye sio mwanasheria!.
Japo miswada yote ya serikali, lazima ipite Baraza la Mawaziri ijadiliwe, wakati mswada huu wa sheria ya uchaguzi unajadiliwa, hakuna mtu yeyote mule akiwemo AG, aliyemwambia ukweli Rais Samia kuwa muswada huo una ubatili!, hivyo mtu ambaye sii mwanasheria hawezi kuujua ubatili wa kisheria kwenye vipengele vya miswada mpaka aelezwe na wanasheria!. Hivyo kwa intellect ya Rais Samia, kumlaumu kwa kutoyajua haya ni kumuonea bure!.
Kwa bahati nzuri, mimi ni miongoni wa watu wanaomfahamu Rais Samia sio tuu kwa kauli na matendo, bali kwa kufanya nae mahojiano ya ana kwa ana mara mbili. Mara ya kwanza akiwa Waziri Ofisi ya Makamo wa Rais na mara ya pili akiwa Makamo Mwenyekiti wa Bunge la Katiba.
Wakati akiwa VP nilimfanyia uchambuzi mara mbili
Mara ya kwanza ni hapa Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” na mara ya pili ni hapa "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
Na baada ya kuwa Rais wa JMT, pia nilimfanyia uchambuzi mara mbili Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila... na Ili kupata Viongozi Bora baadae, Watanzania tujifunze kuwasoma watu kwa asili zao. Mjue Samia alivyo kwa asili yake
Hivyo kwa kauli na matendo, ya Rais Samia, hiki kinachofanyika kwenye miswada hii, naamini kabisa sio yeye, bali waonayafanya haya ni wanasheria, waojua fika ubatili wa muswada huu, lakini wametake advantage ya intellect yake Rais Samia kumsokomezea ubatili tena, ikapelekwa Bungeni, itapitishwa, na kutungwa sheria batili, kisha Rais Samia ataisaini kuanza kutumika, kwa excuse kuwa batili hiyo kwa vile iko kwenye katiba yetu!, then ni batili halali!. Kisheria, batili ni batili, hata ikichomekewa kwenye katiba kiubatili, bado inabaki ni batili, na badala ya kuihalalisha haramu kwa kuichomekea kwenye katiba, haramu hiyo inaiharimisha katiba na kuibatilisha katiba kwa kuifanya kuwa na unajisi!.
Mimi naamini kabisa kwa haya yanayofanyika kuhusu Muswada huu, huyu sio Rais Samia ninaye mfahamu mimi, na naamini kabisa yeye wala hajui kuwa muswada wa sheria ya uchaguzi ni muswada wenye ubatili unaokiuka ibara ya 11 ya katiba ya JMT na kuathiri ibara ya 5, ibara ya 21, ibara ya 39 na ibara ya 67.
Kwa vile yeye sio mwanasheria, hajui kuwa katiba yetu ina ubatili, uliochomekewa kiubatili na awamu zilizopita na Bunge lilolopita unakokwenda kinyume cha Ibara ya 5, ibara 21, ibara ya 39 na ibara ya 67 za Katiba ya Tanzania ya mwaka 1977.
Nimesema ninaamini kabisa Rais Samia hayajui haya na hapa niliandika Madudu ya ajabu ya ubatili wa Katiba yetu, mabadiliko "fake" ya sheria na Tume ya Uchaguzi, Rais Samia asilaumiwe kwasababu yeye sio mwanasheria!.
Hivyo kitendo cha Freeman Mbowe Kutomwamini Rais Samia, ni kumuonea bure, niliwahi kushauri Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda, ila kama Freeman Mbowe anaona muda aliompa kwenye vikao vya maridhiano unatosha, sasa ndio aanzishe maandamano, huku sio kumtendea haki, namshauri Mbowe, aichukulie miswada hii kama fursa, afanye uhamasishaji na uelimishaji umma wa kufa mtu kwa Watanzania kwa ku invest in people, grassroot people kuhusu haki zao, ili Watanzania kwa mamilioni wajitokeze wajiandikishe kwenye daftari la kudumu la wapiga kura, na 2025 wajitokeze kwa wingi wawapumzishe watu kwa amani kupitia sanduku la kura na sii kupitia maandamano!.
Bahati nzuri sana na mimi nimehudhuria vikao vyote vitatu vya kukusanya maoni ya wadau na mara zote 3 nilipata bahati ya kuchangia.
Mchango wangu kikao cha kwanza ni huu
View: https://youtu.be/PBpjDhH2XiA?si=9dtqZ-1-ZkzWo69t
Mkutano wa pili maoni yangu ni haya
View: https://youtu.be/3a4SjkV46JY?si=98HTkiMGNsmlLBGz
Na Mkutano wa tatu wa Kamati ya Bunge pia nilitoa maoni.
Nimeandika makala zifutazo kuhusu sheria hizi
Mbowe kutangaza maandamano nimetoa ushauri issues za kisiasa zitatuliwe kisiasa, halafu issues za kisheria zitatuliwe kisheria, utungaji miswada ni issue ya kisheria, baada ya watu kutoa maoni yetu, Bunge likitutungia sheria batili, this time around, we'll have to do something!.
Tangu Rais Samia ameingia madarakani ile March 21, 2021, mimi tuu mwenyewe, nimelisemea jambo hili la katiba, sheria na haki zaidi ya mara 100!,
Mhe. Freeman, rudisha moyo, applies zile 4R za Rais Samia tulisongeshe mbele kwa mbele.
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali.
Wanabodi,
Nimemsikiliza Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe katika bandiko hili Mbowe: Najutia kumuamini Rais Samia
View: https://youtu.be/Xjao83Ghy04?si=qSQTeSxIx_8B5a-L
Kiukweli kabisa mimi nimemwelewa sana Mwenyekiti Freeman Mbowe hapa, na hata ningekuwa mimi!, I would have felt the same, but not done the same, I would have done something worthwhile but not maandamano!.
Namuomba sana Mhe. Mbowe, please usipoteze imani na Rais Samia!, kwasababu Rais Samia ninaye mfahamu mimi, sio mtu mwenye ndimi mbili!, namfahamu fika Rais Samia kwa kauli na matendo, yeye kama yeye, hawezi kabisa kusema hivi haiafu akaja kutenda vile!. She is straightforward person and firm, tena usikute yeye kwa intellect yake, japo ndie aliyeongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichopitisha miswada hiyo lazima ukakuta yeye wala hajui kuwa mswada sheria ya uchaguzi una ubatili ulioshabatilishwa na Mahakama Kuu kwasababu yeye sio mwanasheria!.
Japo miswada yote ya serikali, lazima ipite Baraza la Mawaziri ijadiliwe, wakati mswada huu wa sheria ya uchaguzi unajadiliwa, hakuna mtu yeyote mule akiwemo AG, aliyemwambia ukweli Rais Samia kuwa muswada huo una ubatili!, hivyo mtu ambaye sii mwanasheria hawezi kuujua ubatili wa kisheria kwenye vipengele vya miswada mpaka aelezwe na wanasheria!. Hivyo kwa intellect ya Rais Samia, kumlaumu kwa kutoyajua haya ni kumuonea bure!.
Kwa bahati nzuri, mimi ni miongoni wa watu wanaomfahamu Rais Samia sio tuu kwa kauli na matendo, bali kwa kufanya nae mahojiano ya ana kwa ana mara mbili. Mara ya kwanza akiwa Waziri Ofisi ya Makamo wa Rais na mara ya pili akiwa Makamo Mwenyekiti wa Bunge la Katiba.
Wakati akiwa VP nilimfanyia uchambuzi mara mbili
Mara ya kwanza ni hapa Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” na mara ya pili ni hapa "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
Na baada ya kuwa Rais wa JMT, pia nilimfanyia uchambuzi mara mbili Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila... na Ili kupata Viongozi Bora baadae, Watanzania tujifunze kuwasoma watu kwa asili zao. Mjue Samia alivyo kwa asili yake
Hivyo kwa kauli na matendo, ya Rais Samia, hiki kinachofanyika kwenye miswada hii, naamini kabisa sio yeye, bali waonayafanya haya ni wanasheria, waojua fika ubatili wa muswada huu, lakini wametake advantage ya intellect yake Rais Samia kumsokomezea ubatili tena, ikapelekwa Bungeni, itapitishwa, na kutungwa sheria batili, kisha Rais Samia ataisaini kuanza kutumika, kwa excuse kuwa batili hiyo kwa vile iko kwenye katiba yetu!, then ni batili halali!. Kisheria, batili ni batili, hata ikichomekewa kwenye katiba kiubatili, bado inabaki ni batili, na badala ya kuihalalisha haramu kwa kuichomekea kwenye katiba, haramu hiyo inaiharimisha katiba na kuibatilisha katiba kwa kuifanya kuwa na unajisi!.
Mimi naamini kabisa kwa haya yanayofanyika kuhusu Muswada huu, huyu sio Rais Samia ninaye mfahamu mimi, na naamini kabisa yeye wala hajui kuwa muswada wa sheria ya uchaguzi ni muswada wenye ubatili unaokiuka ibara ya 11 ya katiba ya JMT na kuathiri ibara ya 5, ibara ya 21, ibara ya 39 na ibara ya 67.
Kwa vile yeye sio mwanasheria, hajui kuwa katiba yetu ina ubatili, uliochomekewa kiubatili na awamu zilizopita na Bunge lilolopita unakokwenda kinyume cha Ibara ya 5, ibara 21, ibara ya 39 na ibara ya 67 za Katiba ya Tanzania ya mwaka 1977.
Nimesema ninaamini kabisa Rais Samia hayajui haya na hapa niliandika Madudu ya ajabu ya ubatili wa Katiba yetu, mabadiliko "fake" ya sheria na Tume ya Uchaguzi, Rais Samia asilaumiwe kwasababu yeye sio mwanasheria!.
Hivyo kitendo cha Freeman Mbowe Kutomwamini Rais Samia, ni kumuonea bure, niliwahi kushauri Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda, ila kama Freeman Mbowe anaona muda aliompa kwenye vikao vya maridhiano unatosha, sasa ndio aanzishe maandamano, huku sio kumtendea haki, namshauri Mbowe, aichukulie miswada hii kama fursa, afanye uhamasishaji na uelimishaji umma wa kufa mtu kwa Watanzania kwa ku invest in people, grassroot people kuhusu haki zao, ili Watanzania kwa mamilioni wajitokeze wajiandikishe kwenye daftari la kudumu la wapiga kura, na 2025 wajitokeze kwa wingi wawapumzishe watu kwa amani kupitia sanduku la kura na sii kupitia maandamano!.
Bahati nzuri sana na mimi nimehudhuria vikao vyote vitatu vya kukusanya maoni ya wadau na mara zote 3 nilipata bahati ya kuchangia.
Mchango wangu kikao cha kwanza ni huu
View: https://youtu.be/PBpjDhH2XiA?si=9dtqZ-1-ZkzWo69t
Mkutano wa pili maoni yangu ni haya
View: https://youtu.be/3a4SjkV46JY?si=98HTkiMGNsmlLBGz
Na Mkutano wa tatu wa Kamati ya Bunge pia nilitoa maoni.
Nimeandika makala zifutazo kuhusu sheria hizi
Mbowe kutangaza maandamano nimetoa ushauri issues za kisiasa zitatuliwe kisiasa, halafu issues za kisheria zitatuliwe kisheria, utungaji miswada ni issue ya kisheria, baada ya watu kutoa maoni yetu, Bunge likitutungia sheria batili, this time around, we'll have to do something!.
Tangu Rais Samia ameingia madarakani ile March 21, 2021, mimi tuu mwenyewe, nimelisemea jambo hili la katiba, sheria na haki zaidi ya mara 100!,
Mhe. Freeman, rudisha moyo, applies zile 4R za Rais Samia tulisongeshe mbele kwa mbele.
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali.
Aisee! Nimeshangaa sana Mayalla na hizi hoja zake. Eti watu wakapige kura!? Hivi huyu mtu ni mgeni nchi hii!? I'm very disappointed na huyu jamaa. Ni kama amesahau ya Zanzibar na yale aliyofanya Magufuli 2020.1.)
1.) Umesema katiba ni batili? Ili nikosa Tena saana...
2.) Unamwongelea Samia au Rais Samia? Kusema rais anadanganywa/hajui ni kumdhalilisha rais maana wataalam anao.
3.) Eti Mbowe achochee watu wakapige kura kubadili uongozi? Kwamba hujui tume ya uchaguzi ndiyo donda? Unaelewa mada kweli au?
4.) Kumsifia Samia na kumdhihaki rais Samia nisawa? Itafanya uteuliwee kisa unamsifia samia?
5.) Huna ushauri Bora Kwa serikali,samia wala Kwa Mbowe hivyo andikolako reefu linakuwa buuree kabisa.
6.) Mayala jifunze kujenga hoja zakuitetea nchi zaidi yahoja za kujipendekeza na kumtetea mtu.
USHAURI;
Enzizilee Uliweza saana kutangaza maonesho mfano sabasaba nk. kwenye siasa kiukweli unapwaya,nakushauri anzisha kipindi boora Cha "Business Tz" utakuwa Bora kama yule wa CNN na "business class"LAKINI siasa unazovamia utaangukia pua bro