Nimemwelewa sana Mbowe, usipoteze imani na Rais Samia. Alivyo kwa Kauli na Matendo hawezi kuwa ni yeye!

Upo sahihi mkuu

Lakini akinyoshewa mkono kwa matendo mabaya ya serikali yake watu wanasema sio yeye anaonewa, tunamfanya rais ni malaika, yaani tumsemehe kwa mazuri tu ila mabaya ya serikali yake tumpe nani?
 
Leo nimeisikiliza Press Conference ya Mh. Mbowe, kiukweli nimeguswa, na nimemwelewa sana Mhe. Mbowe, natoa pole zangu kwa wahanga wote wa Chadema kwa kilichotokea
Na kuungana nao kulaani waliotenda vitendo hivyo.

Hata hivyo hakuna any direct link ya uhusika wa Rais Samia, ila kwa vile Chadema wameamua kwenda mahakamani kufungua mashitaka kwa wahusika individual, nawashauri katika mashitaka yao, pia wawahisishe wahusika wote wa tortuous liability na vicarious liability waliohusika.
P
 
Umeongea uongo. Process za kutunga miswada lazima zipite kweñye Baraza la mawaziri. Sasa utasemaje Rais hajui wakati ndio mwenyekiti wa Baraza la mawaziri.
Mtu ambaye si mwanasheria, hawezi kujua illegality ya any legal issues mpaka allowed na wanasheria, Rais Samia sio mwanasheria, atajuaje ubatili wa Katiba na Ubatili wa Sheria mpya aliyoisaini bila kuelezwa na wasaidizi wake sheria?. Hao wasaidizi wake sheria wamemtungia muswada batili, kwenye kikao cha cabinet, hakuna aliyemwambia kuhusu ubatili huu, Bunge letu nalo likaipokea hiyo batili toka serikali likatunga Sheria Batili na kumpelekea Rais Samia kuisaini na akaisaini. Madudu ya ajabu ya ubatili wa Katiba yetu, mabadiliko "fake" ya sheria na Tume ya Uchaguzi. Rais Samia asilaumiwe kwasababu yeye sio mwanasheria!
P
 
White washing....
 
Four R za Samia zimeshasiginwa tayari.
Ustahamilivu ulikosekana - wangewasikiliza vijana wanaongea nini badala ya kugeuka na kuwa watabiri wa nyota na kuwahukumu kabla.

CDM wana turufu na hii waitumie kuwabeba 2025
 
Four R za Samia zimeshasiginwa tayari.
Ustahamilivu ulikosekana - wangewasikiliza vijana wanaongea nini badala ya kugeuka na kuwa watabiri wa nyota na kuwahukumu kabla.

CDM wana turufu na hii waitumie kuwabeba 2025
Tatizo ni hii turufu ni tofali tuu la barafu, toka lini tofali la barafu likajenga nyumba?.
Hizi siasa za matukio sio mtaji kabisa wa kisiasa!.
P
 
Huwezi kuwashauri Chadema wewe mwanaccm .
Huwezi kumzuia mtu kutoa ushauri, anayeamua kushauri ndie mwenye mamlaka ya kuamua kushauri,
mtu wa pili mwenye mamlaka ni mshauriwa,ana uhuru wa kupokea ushauri na kuufanyia kazi,kupokea ushauri na kuuouuzia,au kutopokea kabisa ushauri。Hata ushauri wangu usipopokelewa,mimi nakuwa nimetimiza wajibu wangu。
Kwenye uenyekiti nimeshauri Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?

Baada ya Sultani wao kuamua kuendelea nikashauri Kuelekea 2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!

P
 
Siwezi kupoteza muda wangu kusoma mabandiko yako, as I said 2016 ndio niliacha kuwa serious na unachosema au kuandika.

Heshima uliyojijengea humu jukwaani umeipoteza mwenyewe sio mimi tu chunguza humu watu kibao walishaacha kukuchukulia serious kwenye maandiko yako.
 
duh。。。!
 
Huyu si unamkumbuka?

Tusubiri tuone amekuandikaje humu.
View attachment 3182533
tusubirie,bali baada ya kuachiwa nikiwa UK nilimtafuta over a cup of coffee,akaniambia jinsi watu walivyokuwa wakimpelekea print out ya thread zangu kumuaminisha namsagia kunguni!,nilimweleza ukweli wangu wote。
Mama yake alipomlilia JPM,niliandika kitu。

Alipofariki niliandika Personal Plea Kwa Rais Magufuli: Kama ameweza kuwasamehe wabakaji, wauaji, mafisadi, wahujumu, anaweza pia kumsamehe Eric Kabendera, amzike mama yake
Maziko nilihudhuria!。
P
 
Mayalla bhana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…