misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,244
- 10,073
Upo sahihi mkuuMimi mnanishanagaza watu wa Tanzania hii. Sifa nzuri nzuri anayepongezwa ni rais. Mfano utasikia, TRA imevuka lengo la makusanyo. Rais Samia apewe sifa. Mara sijui umeme wa uhakika, rais apewe sifa.
Ila zikika sifa mbaya za serikali mnataka kumtenganisha na sifa hizo. Kwangu ukisema yeye si mwanasheria anaweza kuwa hajui ubatili wa katiba si utetezi maana rais hatutegemei ajue kila kitu ila kazungukwa na wataa ambao inapaswa awatumie.
Mbowe kavuna alichopanda taingia mwanzo yale maridhiano yalikuwa ni janja janja tu.
Maridhiano ilikuwa ni marekebisho ya katiba si kuitwa ikulu upewe fadhila.
Mtu akikupa fadhila kesho anaweza zichukua kama ambavyo wana ccm mnadai kuruhusu mikutano ya kisiasa ni huruma ya rais Samia kwa wapinzani
Lakini akinyoshewa mkono kwa matendo mabaya ya serikali yake watu wanasema sio yeye anaonewa, tunamfanya rais ni malaika, yaani tumsemehe kwa mazuri tu ila mabaya ya serikali yake tumpe nani?