Nimemzaba kofi 'wife' sababu ya Prof.Lipumba. Kamaindi, karudi kwao Kinyerezi

Nimemzaba kofi 'wife' sababu ya Prof.Lipumba. Kamaindi, karudi kwao Kinyerezi

Polee mkuu ... But ulishawai mpiga mkeo KWA kosa lolote?? Kama ujawai we kaa kimya atarudi mwenywe sababu nazani akija uku jf akiona jinsi kila MTU anatafuta mwenza kuna mpaka wazee ..single mama...na wenye gwegwe

sent from my iPhone 6
Sijawah kabisa. Ukimjua mamayake huez mess na huyu binti aisee

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Mkuu nlimnasa kikofi cha utani tu

An ant on the move does more than a dozing ox.
Kikofi cha utani asinge dondoka na kupiga yowe braza.... ulimpa mkofi wa haja na tusi juu kwan yy ni mjinga asijue utani na kwann alivyokwambia hivyo umpige 'kofi la utani' kwani ungekataa tu hapana mimi sio ungepungukiwa na nini???

Next time jirekebishe life is short unampiga 'kofi la utani' kanyooka kafa, je ndugu zake na wako na jamuhuri utawaambia kua ilikua utani??? milango ya segerea inafunguka kwa 'kofi la utani'

Muombe mkeo msamaha na ujiapize hurudii tena.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Umesema kweli mdogo wangu. Eti anakiita kikofi cha utani. Khaaa.

Halafu jambo lenyewe la kusababisha hicho kikofi cha utani halina kichwa wala miguu.
 
Wanajamvi,

Ivi wenzangu hamnaga matani kwenye mahusiano yenu huko?? Iko hivi....

Nipo na wife tumekaa kitandani, wife anakunja nguo mie nachezea simu iko kwenye chaji huku nimejilaza. Hapa na pale wife kaniambia kiutaniutani tu eti "..afu we unaonekana upo CUF ...tena CUF ya Lipumba. Mie kwa ghadhabu nikanyanyuka nikamzaba kofi moja mpaka akaangukia kitandani, mie nilizan ni masikhara tu kajiangusha. Nikarud kitandan nikaendelea kuchezea sim, nikamwambia "Lipumba hana CUF... kuna CCM na CCM ya Lipumba"

Wife akaamka, katoka nje kapiga yowe moja. Inavoonekana, lile kofi kachukulia serious ameondoka amekimbilia kwao Kinyerezi. Kama nusu saa sasa naona simu ya Mamaake Mdogo inanipigia. Sijapokea. Bila shaka wife kaishafika kwao...

Hapa majirani wawili wamekuja home wanauliza kunani yowe hilo; nimewambia pako shwari tu, labda waliskia vibaya.Sasa najiuliza; kama kwel kachukulia serious hadi ameenda kushtaki kwao, hii kesi mbona ni ngumu sana. Ivi kweli inawezekana kumwelezea mtu mzima mwenye akili timamu huu wehu wa prof kua ndo chanzo cha ugomvi? Nikiwaeleza wakwe haya mambo ya Lipumba afu eti nikamzaba kikofi binti yao, wataniona niko timamu kweli? Au nifanyeje jaman; asalaaaleh?

mfumo dume ndo unao kusumbua tayari ulivo sema mkeo anakunja nguo wewe unachezea simu nikajua hamna kitu-wawili usaidian ususani wakiwa karbu tena kitandani haswaa!!!! pili ume athiriwa na comedy za wana siasa mpaka kua na jazba ya kumuadhbu mjeo kipenzi chako -mkeo ali kuambia ivo kwa kua alijua jamaa kaathirka na siasa za maji takaa-ushauri wangu -mpende mkeo achana na kujidhalilisha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nenda kinyerezi kawaeleweshe wakwe zako kwamba ilikuwa ni utani tuu.
Ila inataka moyo na bado sipati picha eti anaenda kwa wakwe anawaambia nilimpiga kikofi cha utani. Yaani haiingii akilini kabisa mumy.
 
Umesema kweli mdogo wangu. Eti anakiita kikofi cha utani. Khaaa.

Halafu jambo lenyewe la kusababisha hicho kikofi cha utani halina kichwa wala miguu.
Ana shida huyu.... badala akambebe mkewe na kuwataka radhi wakwe zake anakuja kutafuta huruma ya wana jf huku.... lol

Mzima lakini dada ake

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Wanajamvi. Hapa nilipo nimefunga milango yote nimelala chumbani. Simu zinamwagika kias kwamba nakosa utulivu kusoma ushauri wenu.

Na tatzo lingine ...hua niko vibaya na mamamkwe. Sijui hii issue ataichukuliaje.

Ila kinyerezi siendi aisee, piga ua. Nitaenda sokolwa sana bichwa langu, mamkwe hafai anagubu mno!!

Nitawajuza. Ila utani mbaya kumbe

An ant on the move does more than a dozing ox.
Hahahaaaaa kilambi.. unanivunja mbavu,umejifungia chumbani unaogopa gubu la mama mkwe au kuna kingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana shida huyu.... badala akambebe mkewe na kuwataka radhi wakwe zake anakuja kutafuta huruma ya wana jf huku.... lol

Mzima lakini dada ake

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.

Ukiangalia ameshalikoroga. Ila wote na mkewe nao watakuwa na shida utani gani wa kufanyiana mwilini. Bora mtaniane kwa maneno tena yenye heshima na sio hadi kofi.

Mi mzima kabisa mdogo wangu.

Miss u mingi mingi ila sio kwa kujificha huko weekend.
 
Hihihihi weekends ndio tunatupa shida chini tunaweka mikono juu....
Dada angu utaweza haya yaan kama vile mwendo wa mateka....lol

Nialike siku moja birian jamaniiii maana kwa mapishi najua ndio mwalimu wao.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Back
Top Bottom