kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
- Thread starter
- #121
[emoji15] [emoji27]Unatakiwa kupimwa mkojo wewe
An ant on the move does more than a dozing ox.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji27]Unatakiwa kupimwa mkojo wewe
Sijawah kabisa. Ukimjua mamayake huez mess na huyu binti aiseePolee mkuu ... But ulishawai mpiga mkeo KWA kosa lolote?? Kama ujawai we kaa kimya atarudi mwenywe sababu nazani akija uku jf akiona jinsi kila MTU anatafuta mwenza kuna mpaka wazee ..single mama...na wenye gwegwe
sent from my iPhone 6
Kikofi cha utani asinge dondoka na kupiga yowe braza.... ulimpa mkofi wa haja na tusi juu kwan yy ni mjinga asijue utani na kwann alivyokwambia hivyo umpige 'kofi la utani' kwani ungekataa tu hapana mimi sio ungepungukiwa na nini???Mkuu nlimnasa kikofi cha utani tu
An ant on the move does more than a dozing ox.
Mumy na maisha yake na mkewe pia ni comedy aisee.hahahahah asalaaaleh!!!
Nimecheka sana
Yani stori yako na ID yako kilambimkwidu ni comedy tosha
Umesema kweli mdogo wangu. Eti anakiita kikofi cha utani. Khaaa.Kikofi cha utani asinge dondoka na kupiga yowe braza.... ulimpa mkofi wa haja na tusi juu kwan yy ni mjinga asijue utani na kwann alivyokwambia hivyo umpige 'kofi la utani' kwani ungekataa tu hapana mimi sio ungepungukiwa na nini???
Next time jirekebishe life is short unampiga 'kofi la utani' kanyooka kafa, je ndugu zake na wako na jamuhuri utawaambia kua ilikua utani??? milango ya segerea inafunguka kwa 'kofi la utani'
Muombe mkeo msamaha na ujiapize hurudii tena.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
pouwa ..niaje[emoji4]Mambo[emoji8]
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Kipimo cha mkojo kinatakiwa hapo. Yaani anampiga mkewe halafu anasema ni utani. Halafu majirani wanasogea wanauliza kama kuna issue halafu anawaambia hakuna issue ni masikio yao ndio yana shida wakati mkewe katoka nje na kupiga kelele na yeye akasikia.
Umeona dada ake.Huko aliko masikini Professor anakula ubwabwa wala hujui kuwa leo jina lake limesababisha ndoa ivunjike
Wanajamvi,
Ivi wenzangu hamnaga matani kwenye mahusiano yenu huko?? Iko hivi....
Nipo na wife tumekaa kitandani, wife anakunja nguo mie nachezea simu iko kwenye chaji huku nimejilaza. Hapa na pale wife kaniambia kiutaniutani tu eti "..afu we unaonekana upo CUF ...tena CUF ya Lipumba. Mie kwa ghadhabu nikanyanyuka nikamzaba kofi moja mpaka akaangukia kitandani, mie nilizan ni masikhara tu kajiangusha. Nikarud kitandan nikaendelea kuchezea sim, nikamwambia "Lipumba hana CUF... kuna CCM na CCM ya Lipumba"
Wife akaamka, katoka nje kapiga yowe moja. Inavoonekana, lile kofi kachukulia serious ameondoka amekimbilia kwao Kinyerezi. Kama nusu saa sasa naona simu ya Mamaake Mdogo inanipigia. Sijapokea. Bila shaka wife kaishafika kwao...
Hapa majirani wawili wamekuja home wanauliza kunani yowe hilo; nimewambia pako shwari tu, labda waliskia vibaya.Sasa najiuliza; kama kwel kachukulia serious hadi ameenda kushtaki kwao, hii kesi mbona ni ngumu sana. Ivi kweli inawezekana kumwelezea mtu mzima mwenye akili timamu huu wehu wa prof kua ndo chanzo cha ugomvi? Nikiwaeleza wakwe haya mambo ya Lipumba afu eti nikamzaba kikofi binti yao, wataniona niko timamu kweli? Au nifanyeje jaman; asalaaaleh?
Ila inataka moyo na bado sipati picha eti anaenda kwa wakwe anawaambia nilimpiga kikofi cha utani. Yaani haiingii akilini kabisa mumy.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nenda kinyerezi kawaeleweshe wakwe zako kwamba ilikuwa ni utani tuu.
Ana shida huyu.... badala akambebe mkewe na kuwataka radhi wakwe zake anakuja kutafuta huruma ya wana jf huku.... lolUmesema kweli mdogo wangu. Eti anakiita kikofi cha utani. Khaaa.
Halafu jambo lenyewe la kusababisha hicho kikofi cha utani halina kichwa wala miguu.
Ila ndio akome utani wa kijinga jingaSimu zilizopigwa kutokea ukweni inaonesha ukweni sio wa mchezo mchezo, ndio maana kaja JF.
Hahahaaaaa kilambi.. unanivunja mbavu,umejifungia chumbani unaogopa gubu la mama mkwe au kuna kingine?Wanajamvi. Hapa nilipo nimefunga milango yote nimelala chumbani. Simu zinamwagika kias kwamba nakosa utulivu kusoma ushauri wenu.
Na tatzo lingine ...hua niko vibaya na mamamkwe. Sijui hii issue ataichukuliaje.
Ila kinyerezi siendi aisee, piga ua. Nitaenda sokolwa sana bichwa langu, mamkwe hafai anagubu mno!!
Nitawajuza. Ila utani mbaya kumbe
An ant on the move does more than a dozing ox.
Hahahaaaaa[emoji23] [emoji23]Hawa watakuwa wanadanganyana kwenye ma grupu yao ya whatsapp, hata mimi jana ilibidi nimuache mmoja kituoni baada ya kuniambia nna mambo kama ya lipumba?
Ana shida huyu.... badala akambebe mkewe na kuwataka radhi wakwe zake anakuja kutafuta huruma ya wana jf huku.... lol
Mzima lakini dada ake
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Hihihihi weekends ndio tunatupa shida chini tunaweka mikono juu....Ukiangalia ameshalikoroga. Ila wote na mkewe nao watakuwa na shida utani gani wa kufanyiana mwilini. Bora mtaniane kwa maneno tena yenye heshima na sio hadi kofi.
Mi mzima kabisa mdogo wangu.
Miss u mingi mingi ila sio kwa kujificha huko weekend.