Nimenasa kwenye ulimbo wa ndoa natamani kutoka nashindwa

Acha kuingilia imani za watu amani ya kiislamu ipi au ile ya kuvaa juba na mbona wako wachache wanaovaa au aya imeshuka ikisema msivae tena?karibu 95% mna ndoa moja kama wakristo!
Umemtafsri vibaya. Amemaanisha ndoa ya ki Islam Wala huangaiki kuachana ni suala la dakika tu. Lkni ndoa za kanisani kuachana ni process kwasabbu mkataba unasema "mpaka kifo" wakati kwenye uislam unapooma mambo mazito toa talaka fanya mambo yako.
 
Wanawake wakiwa wanabembeleza ndoa wanaheshima balaa kuna demu hapa kaniganda kila nkimtafutia kosa la kumuacha spati kosa maana huwa ananiomba msamaha hata asipokua na kosa lolote kma haka nikijidanganya nikaowe najua yatanikuta hayo hayo tu[emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23] nakupata kabisa.
 
Mungu akusaidie, akuvushe , jitahid uwe busy pia, ukiona una kosa amani tafuta Mahal pa ibada kaombe, ukimaliza Rudi nyumbani, umuombe Mungu na hekima ya kuongea na huyo dada.

Kabla hujaenda muuliza kitu hakikisha umeomba Kwanza ili aongee.
Yy mwenyew anaishi kwa mateso moyon sio kuwa ana raha. Nakuombea Mungu akuvushe hapo.
 

Pole sana bro. I'm around your age japo nimekuzidi miaka kadhaa michache. Nina miaka minne tu kwny ndoa.

Binafsi miezi 6 hadi mwaka wa kwanza ndio kidogo shida ilikuwepo. Nadhani ni ile kuanza kuzoeana kuishi pamoja na kuharmonise tofaui zenu kitabia,mitazamo nk. Hii ni hata kama mlikua mkiishi pamoja kabla ya ndoa bado hutokea. Mfano mimi niliishi nae na tulipata mtoto wa kwanza kabla ya ndoa (sasa tunao wawili) na bado miezi 6 ya kwanza hadi mwaka baada ya ndoa hali ilikua si nzuri.

Kwa nini najiexpose na kusema haya yote? Pengine it may help you with perspective. Pambana kunusuru ndoa yako. It will get better na niamini mimi, mkivuka hapa mtafika mbali sana na your next storm ni pale kwny mid life crisis. Mkivuka hii stage yenu ya sasa mapenzi ndio hua moto moto utakuja kupost thread huku kusimulia unavyo enziwa[emoji23]

Kila la heri. My prayers with you.

PS[emoji41] (out of scope) au aliona hii thread ikapalilia moto?

 
Sijui tatizo sasa mwaka na kitu,huwezi amini nakonda mbaya kuishi na mtu ndani lakini kama hatufahamiani vile.na huwezi fanya suluhu na mtu ambae hakuambii umekisea wap.
Huyo moyo ushahama,we achana nae tu.Nakuambia kwa sababu mwaka uliofunga ndoa nami ni ivoivo,na majanga mi yalianzia honeymoon.Kiufupi mwenzako hajawahi kukupenda toka moyoni...wazazi wetu wanatushaurigi hata kama humpendi we ingia ivoivo kumpata bwana wa kukuoa kwa miaka ya sasa ni ngumu,shukuru umepata(ko ngoma inakuwa ndani ya ndoa sasa)
 
Yaleyale

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Dec 2020 alisema hajaoa na anawakinai wanawake mara akilala nao.
Uzi huu anamlalamikia mke aliyemuoa 2019!
 
Ulilosema inawezekana likawa kweli Ila kwa upande wake, miezi 6 ya mwanzo, bibie alikuwa analeta usanii, na baada ya hapo hadi sasa anaishi uhalisia wa jinsi alivyo.
 
Inaonekana hujamzalisha, inaonekana hujampa mimba.
Ikiwezekana ongeza mke wa pili ufute machungu.

Umesema pia umefunga na kuomba lakini mambo ni yale yale, mungu hasaidii mkuu, kwenye hali kama hzo mungu hana msaada.
Aisee noma hii kumbe Mungu analimit ktk kutusaidia
 
Ulilosema inawezekana likawa kweli Ila kwa upande wake, miezi 6 ya mwanzo, bibie alikuwa analeta usanii, na baada ya hapo hadi sasa anaishi uhalisia wa jinsi alivyo.
Aiseee ee. Hili umenena bro wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…