Nimenuniwa na mpenzi wangu

Kosa lipo hapa, ata mimi nikinyimwa huwa nakuwa hivyo hivyo, binafsi napenda mwanamke anayependa kupigwa mashine, mambo ya kupangiana tendo ndio huwa kero kwa sisi wanaume wenye nguvu zetu πŸ˜€
Ukisusa wenzio twala
 
Still occupied? Kijana min -me yuko ready to bring a little extra sunshine vile haujawahi ku experience ebu mfungulie PM ili ajue hiyo neno "occupied" atume carrier pigeon or just keep sending you cheesy pickup lines lakini huko PM binti
Kijana unafanya kazi iliyotukuka sanaπŸ’ͺ
 
Inategemea kama alikuwa ananichuna sana, nitapata unafuu wa kuokoa salio.
Mkuu sio kila mtu anachunwa unatakiwa ulijue hiloπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜› wengine tunafanya wajibu wetu kama wanaume tu😁😁
 
Kosa lipo hapa, ata mimi nikinyimwa huwa nakuwa hivyo hivyo, binafsi napenda mwanamke anayependa kupigwa mashine, mambo ya kupangiana tendo ndio huwa kero kwa sisi wanaume wenye nguvu zetu πŸ˜€
Wewe ulivyo fisi hata upewe mwenye k 5 bado utatafuta sababu ya kuchepuka
 
Na wewe mkaushie au nuna il kama huwezi vyote basi mbembeleze wewe ndio uwe fala
 
Natamani nikushauri kitu Cha msingi kwa wanaume wa aina hiyo ila naziona akili zako kesho kutwa mmetafutana na mahaba tele utanionaje tenaπŸ˜₯πŸ˜₯. Wacha tucomment kwa minyatoo tu
Shauri tu sitokutaja
 
Mkuu sio kila mtu anachunwa unatakiwa ulijue hiloπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜› wengine tunafanya wajibu wetu kama wanaume tu😁😁
Hawa viumbe hawaeleweki, wapo wengine ukiingia nao kwenye mahusiano, ndoto zako zote za kimaendelea zinakufa, kutokana na matumizi ya hovyo kwenye fedha, muda mwingi kuwa kwenye utatuzi wa migogoro ya nakupenda, pamoja na kupeana msongo wa mawazo.
 
Natamani nikushauri kitu Cha msingi kwa wanaume wa aina hiyo ila naziona akili zako kesho kutwa mmetafutana na mahaba tele utanionaje tenaπŸ˜₯πŸ˜₯. Wacha tucomment kwa minyatoo tu
Ushauri wako ni muhimu πŸ€”
 
Mko mbali sana,kama sio mbali sana emu nenda kamuone,huenda kuna shida.
Dalili za mtu ambaye hana interest na uhusiano wenu utaziona.Ila kwa sasa nenda kamuone kwanza
 
Sasa hapo nin ambacho hujakielewa. Short story ni kuwa file lako limeanza kufungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…