Nimenuniwa na mpenzi wangu

Babu mahusiano yetu ni machanga hajawahi ninunia ndo Leo pia sijamkosea last time tumeongea vizuri Sana ...babu nlifanya jitihada za kumuuliza Lakin kimya...niombe msamaha Kwa kosa lipi babu
Pole sana Mjukuu, Kwa hali uliyonayo Kuna Kila sababu uje huku Kijijini nimwambie Bibi yako akufanyie Kanselingi kidogo 😜

Ila Kwa uzoefu wangu, mara nyingi sisi Wanaume iwapo tunanyimwa tamu huwa Moja haikai Wala mbili haikai.

Hebu fanya mpango uonane na BF yako mahali pa Falagha ili muyajenge.
 
Babu Sio lastborn
 
Huyo alijenga chumba kimoja akaacha matoleo, njoo niongeze sebule na vyumba viwili tena, tuyasongeshe maisha !!![emoji1787][emoji1787]
 
Babu mbona nlivomwambia tusubiri alikubali vizur tu
 
😂😂Nimecheka sana jamni ngoja mafirst born wakuone😂😂
 
Babu nilimwambia mpaka tuoane
Legeza masharti Mjukuu, mwenzio anaweza kuwa ana hali mbaya huko alipo. Asije akaingia kwenye tamaa ya kwenda Riverside bar

Najua sio lazima Kuduu, lakini Kuna namna mnaweza kufanya bila kuingiliana lakini mwenzio akarudi nyumbani akiwa mwepesi kabisa......

Na hilo nalo tuliseme? Ngoja nikavute zangu Kiko miye huko nje 🤗
 
Babu mbona nlivomwambia tusubiri alikubali vizur tu
Kama alikuhaidi mkumbushe ahadi yake.....ama vipi mwambie atume Wajumbe waje kwenu kuleta Posa

Otherwise anaweza kuonja na asirudi, maana Siku hizi Kuna aina nyingi za mapishi japo Mchele ni huo huo wa Kamsamba 🙌
 
Pole sana kwa changamoto inayokukumba
🙏jaribu kua karibu na mungu kwa kipindi kigumu unachopitia
🙏jaribu kumvulia chupi na kumuoffer papuchi.
 
We jipe raha km kuna aliyekuwa anakutafuta ndo muda huu wa kujidai nae, sipendi mwanaume anaejinunisha, anaesusa ovyo tena km huyo bila sababu kajisikia tu kununa😅😅😅😅na hizi dharau zangu ingekuwa mie ningemnyoosha
Kwa hiyo kumbe tunaosumbua wapenzi wa wa watu ,tusikate tamaa , kuna siku tutafakiwa tu.?😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…