Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Una uhakika huyo ni mpenzi wako?😹
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NilisahauMbona kipindi hajanuna hukutuambia?
Ngoja nijikazeSiku hizi sio mpaka Uturuki, jiongeze apo mloganzila chap usimpoteze
Sasa hivi nani kakukumbusha?Nilisahau
Mbenzi wake ana mpenzi wake😂Una uhakika huyo ni mpenzi wako?😹
Yaani amekosea kabisa dada ,hivi uko wapi Sasa hivi dada anguBora ujue kosa Lako ujue ulimkosea
Sina Na siwezagi kuchepukaHuna mchepuko
Sahivi mpenzi wake atakua na mpenzi wake afanye tu namna awe na mpenzi wake mwingine 😹Mbenzi wake ana mpenzi wake😂
Sasa hiyo kitu ndiyo ya kunyima kweli?😜Ndiyo sikatai nikweli
Nkiwa Na michepuko sitaenjoy Wala kufurahia loveHuna mchepuko
Hiyo ni asili yenu, wala sishangaiNgumu kuamini
Mmh siaminUlijiingiza kwa mpenzi wa watu,amerudi kwenye kisima chake,
Mmiliki wa Kisima hua hapangi foleni ili achote maji.
uvuvi hauruhusiwi maeneo haya.Pole sana uko wapi muda huu ? Embu njoo hapa cricket tuone hili suala tunalitatua vipi maana hata Mimi sijapenda kabisa tabia ya shemeji
Ndiyo penzi lilikua moto Kadri siku zinavoenda linazidi kupepea mara gafla tu sintofahamUna uhakika huyo ni mpenzi wako?😹
😄M benzi wake , kashajiongeza yeye anafeli wap kuwa na mpenzi wake?Sahivi mpenzi wake atakua na mpenzi wake afanye tu namna awe na mpenzi wake mwingine 😹
WeweSasa hivi nani kakukumbusha?
Na vitunguu umemeza 😹😹Ndiyo penzi lilikua moto Kadri siku zinavoenda linazidi kupepea mara gafla tu sintofaham
MbaliYaani amekosea kabisa dada ,hivi uko wapi Sasa hivi dada angu
Pole ndivyo yalivyoNdiyo