Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Mleta uzi anazungumzia muziki kwa matumizi ya nyumbani mkuuHome theater kwa ajili ya Mziki? Kwani home thearte zimetengenezwa kwa ajili ya mziki?
Kama mtu ni mhitaji wa mziki anatafuta nini kwenye home thearte?
Sasa mziki na home thearte wapi na wapi?Mleta uzi anazungumzia muziki kwa matumizi ya nyumbani mkuu
kwani ulikuwa uanata kuigeuza nyumba ya watoto kuwa baa, umepigwa njoo tugawane hasara nikupe laki3.5Ni kampuni ya LG. Kuna maandishi yanasomeka lhd657 january 2023. Nimeifunga ndani kwangu cha ajabu inazidiwa mkito na hizi sabufa za kichina spiano
Nimeinunua 700k. Pesa yangu inaniuma sana kwa hiki nilichokutana nacho
Nimeagiza mwanza sijafata mwenyewe. Je, hii sio fake kweli wakuu?
Matumizi yako Makuu ni Music au Movie?Mkuu, naomba ushauri wako apa, subwoofer ya mchina na sound bar hizi za watts 300 niende na ipi?
We jamaa umekula ban lini? π€£π€£π€£Unataka music mzuri chukua HIFI music system
Jamaa alichokosa kwenye ile LG aliyonunua ni mkito ndio shida yake. Anasema inazidiwa hata na subwoofer kama Sea PianoSasa mziki na home thearte wapi na wapi?
Home thearte na soundbars (soundbar pia ni home thearte, in a bar) hazijatengemezwa kwa ajili ya mziki.
Mtoa mada (na wengi wetu humu) hajui hicho anachokitaka (mziki) anatakiwa akipate wapi.
Mtu akiona kitu tu kina speakers basi anajua kinaweza kumpa mziki..
Subwoofer za mchina ni kwa mtu ambaye hana hela ya kununua mziki unaoeleweka.Music
Wengi wao hawazijui coz kupatikana ni ishu lakini trust me ukiipata Edfier umepata kila kitu unachokiitaji kwny mziki na movie. Hii niliyonayo inazaidi ya miaka 8 na mziki wake ni uleuleeKwa Edifier hapa sasa tunazungumzia mziki.
It's a good entry level set inayokupa mziki halisi. I hope Edifier uliyonayo ni Active Speakers.
Inashangaza M'bongo anataka mziki halafu anaenda kununua Homethearte au soundbar(soundbar ni home thearte pia, in a bar)!!
Exactly. Back in time Wakati nataka kununua HiFi System, mojawapo ya Options nilizokuwa nazo ilikuwa Edifier. (Japo sikuchukua Edifier)Wengi wao hawazijui coz kupatikana ni ishu lakini trust me ukiipata Edfier umepata kila kitu unachokiitaji kwny mziki na movie. Hii niliyonayo inazaidi ya miaka 8 na mziki wake ni uleulee
Picha?Wengi wao hawazijui coz kupatikana ni ishu lakini trust me ukiipata Edfier umepata kila kitu unachokiitaji kwny mziki na movie. Hii niliyonayo inazaidi ya miaka 8 na mziki wake ni uleulee
[emoji16][emoji16][emoji16]Kabla hujaagiza mbona hukuja kutuuliza?
Ok kwahiyo lengo lako ni kutukomesha majirani tusisinzie kisa midundo mikubwa?
Kinehe Mami!!mkuu bufa lake nimemrudishia amenipa machaguo ya kuagiza mzigo mwngne ama nipewe hela yangu
π π π jamaa siku kama wana vinyongoo.. kidogo tu wanakubutuaWe jamaa umekula ban lini? π€£π€£π€£
PichaMkuu me nilinunua Radio LGCM5760 Watt 1100. Mwanzoni nilikuwa kama siielewi nilikuwa naiunganisha kwenye computer Kwa kutumia haya manyaya ya kichina nilikuwa naona inamziki wa kawaida Sana. But siku Computer yangu ilipokubali kuiunga hii radio Kwa Bluetooth hapo ndo nilipoanza kusikia mziki mzito na uliochujika vizuri. Kingine haichemki we piga mziki mpaka asubuhi Coz imefungiwa feni maalumu Kwa ndani.
Zinapatikana wapi?Lg mkuu ungenunua Sony nikipiga Sony yangu dav dz 650 watts 1000 jamanii sijutii huku nasikiliza mayday ya fally [emoji1787]