Nimenunua pressure cooker, Cha ajabu natumia saa moja na nusu kupika maharage. Nakosea wapi?

Nimenunua pressure cooker, Cha ajabu natumia saa moja na nusu kupika maharage. Nakosea wapi?

Kifulu

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
557
Reaction score
2,064
Kutokana na mazingira machafu ya baadhi ya mama ntilie

Mwanaume nimeamua kupika

Sasa Jana nimenunua pressure cooker ili kupikia maharage na nyama Cha ajabu naona maharege natumia saa moja na nusu ila maji hayajauki mpaka kupungunza

Nakosea wapi wakuu

IMG_20241229_200745.jpg
 
Nilienda dukani, yule muuza duka akaniambia hizo cooker ya umeme haifai, labda ya kawaida
 
Manual yako inasemaje hususan kuhusu kupika hayo maharage; hapo kutakuwa na power consumption tofauti huenda wewe unatumia nguvu kidogo ambapo inatumia muda mwingi kufanikisha kazi, ingawa una uwezo wa kutumia nguvu kubwa kwa muda mdogo (in the end workdone is the same)
 
Duuh hapo ndio sielewi ila naona inajisave dakika 40 then inazima
 
Angalia kwenye setting vizuri hasa mfuniko, io lid hakikisha umeifunga inavotakiwa na imeziba haitoi mvuke, set unachotaka kupika na itakuletea dakika hakikisha inavoanza kuchemka lazima dakika zisome na zipungue, ukiona haifanyi ivo jua kuna tatizo..
 
Back
Top Bottom