Mlatino Zeshalo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,130
- 3,599
Umekosea herufi ya mwanzo lakini mwenye nayo naona Smart911 ameshacomment tayariMgoja waje kukupa muongozo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekosea herufi ya mwanzo lakini mwenye nayo naona Smart911 ameshacomment tayariMgoja waje kukupa muongozo
Heeeeeh tena!!
Usitutishe bhana mkuu😂.. Unhealthy stuffs zipo everywhere siku hizi ivo vyakula tunavonunua tupike kwenye jiko la mkaa pia vina chemical kibao kuanzia shambani hadi kuhifadhiwa.. Ni hatari kila mahali.
Kwaiyo niiuzeZa umeme ukikutana na mfanyabiashara mwaminifu anakuambia ukweli, hazifai
We unaonaje?Kwaiyo niiuze
Anhaa kumbe ni sawa tuMimi kama senior bachela Hii yangu Huwa inapika maharage dakika 40 ila ili yaive vizuri zaidi hapo huwa naiongezea na dakika 20 zingine kwahiyo ni kawaida tu.
Kuhusu kuipikia nyama imeshanishinda nyama inayopikwa kwa pressure cooker huwa inabaki na shombo balaa, niliwahi kujaribu kupikia ndizi nyama sijarudia tena
Ni unfki hazina madharaWe unaonaje?
Mwambie aisee anatutishaUsitutishe bhana mkuu😂.. Unhealthy stuffs zipo everywhere siku hizi ivo vyakula tunavonunua tupike kwenye jiko la mkaa pia vina chemical kibao kuanzia shambani hadi kuhifadhiwa.. Ni hatari kila mahali.
Ila mkuu, tukisema tuzingatie kila kitu bc tutakufa njaa mana hakuna kilicho bora kwenye kila kitu cha msingi tuu tusife hapo hapo tunapotumia kitu fulani.
Nadhani inategemea na aina ya pressure cooker uliyonunua. Mimi ninayo ya umeme na inatumika almost daily na ni pamoja na nyama, maharage, pilau, mikate na sasa ina mwaka wa pili na familia yangu ni ya watu 6. Pia ni very economical kwenye ulaji wa umeme.Za umeme ukikutana na mfanyabiashara mwaminifu anakuambia ukweli, hazifai
😂😂😂🙌Uliijaribu kuichemshia mawe?
Hili sio toy la kuchezea umewanyang'anya watoto wa shemeji?Kutokana na mazingira machafu ya baadhi ya mama ntilie
Mwanaume nimeamua kupika
Sasa Jana nimenunua pressure cooker ili kupikia maharage na nyama Cha ajabu naona maharege natumia saa moja na nusu ila maji hayajauki mpaka kupungunza
Nakosea wapi wakuu
View attachment 3188002
Kampuni Gani hiyo.Nadhani inategemea na aina ya pressure cooker uliyonunua. Mimi ninayo ya umeme na inatumika almost daily na ni pamoja na nyama, maharage, pilau, mikate na sasa ina mwaka wa pili na familia yangu ni ya watu 6. Pia ni very economical kwenye ulaji wa umeme.
Ukichemsha nyama weka viungo kitunguu swaumu na tangawiz na cubes au simba mbili inakata shomboMimi kama senior bachela Hii yangu Huwa inapika maharage dakika 40 ila ili yaive vizuri zaidi hapo huwa naiongezea na dakika 20 zingine kwahiyo ni kawaida tu.
Kuhusu kuipikia nyama imeshanishinda nyama inayopikwa kwa pressure cooker huwa inabaki na shombo balaa nafikiri ni kwasababu yale maji yake ya awali huwa bayakauki , niliwahi kujaribu kupikia ndizi nyama sijarudia tena.
Sijui nilikosea maelekezo ya youtube kupika ndizi nyama