Nimenunua pressure cooker, Cha ajabu natumia saa moja na nusu kupika maharage. Nakosea wapi?

Nimenunua pressure cooker, Cha ajabu natumia saa moja na nusu kupika maharage. Nakosea wapi?

Kale kalid kajuu hakikisha kamejifunga na yaani hamna hewa inayotoka.

Saa 1 maharage yameiva.

Ila izi ndunde zinatumia umeme aisee.
 
Nadhani inategemea na aina ya pressure cooker uliyonunua. Mimi ninayo ya umeme na inatumika almost daily na ni pamoja na nyama, maharage, pilau, mikate na sasa ina mwaka wa pili na familia yangu ni ya watu 6. Pia ni very economical kwenye ulaji wa umeme.
Ni ya kampuni/brand ipi?
 
Ninayo yangu, mwanzo sikujua namna ya kutumia, ila baadae nimejua, iko bomba sana,. maharage inapika kwa dakika 40 inakua tayari ni kampuni ya BRAVO
 
Jibu ushapata, hizo za umeme chenga, tumia ya kawaida tu dakika 20 tu mzigo unaunga kwa nazi
 
Loweka maharage usiku kucha au loweka asubuhi pika jioni ukir
Kutokana na mazingira machafu ya baadhi ya mama ntilie

Mwanaume nimeamua kupika

Sasa Jana nimenunua pressure cooker ili kupikia maharage na nyama Cha ajabu naona maharege natumia saa moja na nusu ila maji hayajauki mpaka kupungunza

Nakosea wapi wakuu

View attachment 3188002
Loweka maharage jioni pika kesho yake au loweka asubuhi kisha yapike jioni, yatatumia kama nusu saa tuu kuiva ndani ya pressure cooker. Samahani kama sikukuelewa concern yako. Ila ukipika maharage au makande bila kuloweka kabla pressure cooker utaiona kama useless.
 
Sina uelewa zaidi lakini roughly;

Pressure cooker 6L yenye 1000W ikiwaka saa moja inaondoka na Unit 1.

Bei ya unit moja ni Tsh 292, Almost utaivisha maharage kwa sh 300-400.

Wali dak 10-20 unaiva, wali utapika kwa Tsh 100
Kama sikosei bei ya unit moja ya umeme uwa ni 356. Kumbe bado siyo gharama kubwa.
 
Ambapo hadi kuivisha unaweza kuwa umetumia unit ngapi za LUKU?
Hapa vizuri kujua specifications. Maana unit moja ya umeme ni 1kWh au 1000 Wh kwahiyo inabidi usome kwanza consumption ya kifaa chako, mfano kikiandikwa 300 Watt inamaanisha ukikiwasha kwa saa moja kitatumia 300 Watt tu. Karibia nusu ya unit 1.
Screenshot_20241229-210216.png

Kwa mfano dude la mtoa mada ni Watt 1000 kwahiyo kila saa moja linatumia unit 1 ya umeme (1 kWh).
 
Ukichemsha nyama weka viungo kitunguu swaumu na tangawiz na cubes au simba mbili inakata shombo
Hata ukiweka shombo inabaki inakua totauti na iliyopikwa kwenye sufuria ya kawaida nafikiri yale maji ya awali huwa yanatakiwa yakauke yote kwanza, sasa pressure cooker yenyewe huwa haikaushi maji inachemsha na yaleyale maji yake hadi inaiva na shombo yake
 
yako
Nadhani inategemea na aina ya pressure cooker uliyonunua. Mimi ninayo ya umeme na inatumika almost daily na ni pamoja na nyama, maharage, pilau, mikate na sasa ina mwaka wa pili na familia yangu ni ya watu 6. Pia ni very economical kwenye ulaji wa umeme.
brand gani mkuu
 
Hata ukiweka shombo inabaki inakua totauti na iliyopikwa kwenye sufuria ya kawaida nafikiri yale maji ya awali huwa yanatakiwa yakauke yote kwanza, sasa pressure cooker yenyewe huwa haikaushi maji inachemsha na yaleyale maji yake hadi inaiva na shombo yake
Bas uwe unaweka kwanza jikoni maji yakikauka unaweka huko😄
 
Back
Top Bottom