Nimenunua pressure cooker, Cha ajabu natumia saa moja na nusu kupika maharage. Nakosea wapi?

Mimi kama senior bachela Hii yangu Huwa inapika maharage dakika 40 ila ili yaive vizuri zaidi hapo huwa naiongezea na dakika 20 zingine kwahiyo ni kawaida tu.

Kuhusu kuipikia nyama imeshanishinda nyama inayopikwa kwa pressure cooker huwa inabaki na shombo balaa nafikiri ni kwasababu yale maji yake ya awali huwa bayakauki , niliwahi kujaribu kupikia ndizi nyama sijarudia tena.
Sijui nilikosea maelekezo ya youtube kupika ndizi nyama
 
Nadhani wadau wa Nishati safi badala ya kugawa mitungi ya gesi na kuleta kampeni zisizo na tija wangetoa hizi elimu kwa theluthi ya gharama badala ya kuambia watu watumie gesi na kupunguza kipato chao wangewaambia jinsi ya kutumia vifaa kama hivi na kuokoa faranga zao Anyway google youtube huwezi kosa video ya matumizi sahihi
 
Anhaa kumbe ni sawa tu
Kuna watu wanasema watatumia dakika 30
 
Usitutishe bhana mkuuπŸ˜‚.. Unhealthy stuffs zipo everywhere siku hizi ivo vyakula tunavonunua tupike kwenye jiko la mkaa pia vina chemical kibao kuanzia shambani hadi kuhifadhiwa.. Ni hatari kila mahali.
Mwambie aisee anatutisha
No, instant pots don't cause cancer. No evidence has yet been found to claim that the appliance can certainly cause cancer. This concern arose when it was found that cooking starchy foods at high temperatures under dry cooking methods, can result in the production of acrylamides- a carcinoge
 
Za umeme ukikutana na mfanyabiashara mwaminifu anakuambia ukweli, hazifai
Nadhani inategemea na aina ya pressure cooker uliyonunua. Mimi ninayo ya umeme na inatumika almost daily na ni pamoja na nyama, maharage, pilau, mikate na sasa ina mwaka wa pili na familia yangu ni ya watu 6. Pia ni very economical kwenye ulaji wa umeme.
 
Hili sio toy la kuchezea umewanyang'anya watoto wa shemeji?
 
Kampuni Gani hiyo.
 
Ukichemsha nyama weka viungo kitunguu swaumu na tangawiz na cubes au simba mbili inakata shombo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…