Nimenunua pressure cooker, Cha ajabu natumia saa moja na nusu kupika maharage. Nakosea wapi?

Mim nimepikia cake leo nikabonyeza kwenye cake muda umeisha cake ipo vile vile nikatoa nikaweka kwa oven imeiva
 
Duuh hapo ndio sielewi ila naona inajisave dakika 40 then i

Kale kalid kajuu hakikisha kamejifunga na yaani hamna hewa inayotoka.

Saa 1 maharage yameiva.

Ila izi ndunde zinatumia umeme aisee.
Hapana hazitumii mwingi kupika maharage Unit moja haifiki ni kwenye point 46 tena hapo umetumia saa moja na nusu bila kulizima.
 
Mkuu pressure cooker nzur ni zile za Manuel, Mimi ninayo ya Manuel nzuri sana nikiwa utumbo dakika tu umeiva umekua laini kama ndizi
 
Ulichukua namba ya simu ya muuzaji? Umejaribu kumpigia kumuuliza?
 
kwa hiyo zilitengenezwa kwa ajili ya kazi gani?mimi nafikiri wbongo wengi kingereza kinatupiga chenga,kwenye kusoma manual book.
Haiingii akilini dunia nzima wanatumia za umeme,leo bongo ndo tugundue kuwa hazifai.
Hazifai kwenye suala la ubora, na kulingana na kipato chetu na matumizi yetu, je unaweza kumudu manunuzi ya cooker mpya kila inaharibika
 
hiyo pressure cooker ina programme za upishi tayari,wewe weka maharage na weka maji yazidi ujazo wa maharage kwa nchi moja,funika huo mfuniko vizuri,weka on kwenye umeme na uchague programe ya maharage,basi itakupigia na si zaidi ya dk 40 na ikimaliza itatoa mlio,zima na utoe pressure kwenye kile kitufe,mvuke ukiisha basi funua mfuniko maharage tayari
 
Nilienda dukani, yule muuza duka akaniambia hizo cooker ya umeme haifai, labda ya kawaida
sio kweli cooker Kama bado una shida njoo inbox nitakusaidia
 
Ya kwangu inaitwa Andalus.
 
Usitutishe bhana mkuu😂.. Unhealthy stuffs zipo everywhere siku hizi ivo vyakula tunavonunua tupike kwenye jiko la mkaa pia vina chemical kibao kuanzia shambani hadi kuhifadhiwa.. Ni hatari kila mahali.
Nasikia umeolewa.., eti kweli? 🥺
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…