Nimenusurika kufa jana

Nimenusurika kufa jana

Ewaaa sawa sawa mkuu ishu ni kwanini nilihisi kiu hii ipoje...

Maana kuchoka sometimes hata kama ukichoma jiko la mkaa ile CO jau sana ikiwa ina react na O ya hewa..

Sasa tukio la jana ile koo kuwasha na kupaliwa imekaaje an kuna mechanisms gani ya mtu kuhusu kiu vile
Maji yatafanya mizunguko wa damu ukae sawa...... Hapo ungezidiwa ungeongezewa damu au maji

Kwenye kiu sijajua
 
Ulichopitia hakiwezi kuwa uthibitisho wa Mungu maana hayupo. Ulichopitia ni kwasababu mwili wako una mfumo wa neva, ubongo, na ufahamu (consciousness) ndiyo maana ulipata hayo mateso ila ungekufa usingeweza ku-experience tena hicho ulichopitia.

Mimi naamini kila binadamu siku atakayokufa itakuwa siku ya furaha zaidi kuwahi kutokea kwenye maisha yake, ikiwa tu kama kuna afterlife.
Hii experience niliyopitia niliona kabisa kuna malaika anatoa roho au we uamini
 
Back
Top Bottom