Kigugumiza
JF-Expert Member
- Mar 7, 2022
- 508
- 687
- Thread starter
- #61
Ndugu acha kabisa,yaani kifo tunatembea nacho,Amakweli KIFO ni FUMBO.
Jana J3 kuna Jamaa kanusirika kama wewe hivyo hivyo na alishajiandaa na Mipango chungu mzima.
Yuko hospitalini anauguzwa lakini uhai anao na nyumba haifai tena maana Lori limeichakaza.
Pole sana na nakushauri ongeza Ibada ndugu.