whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Dar niliwahi kutapeliwa pesa ndogo na tajiri anayemiliki lodge, Kiufupi niliyoyapitia yamenipa hofu ya kuamini binadamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahajaaWatu washatapeli Bandari huko.. alafu unakuja kusema UMENUSURIKA..
Watu tushapigwa mpk dakika hii
Tusimulie kidogo.Pole sana mkuu hao mbwa walinipiga 400K sitokuja sahau.
Asante kwa kuelezea....Fanya hivi ukitumia bolt....sawa
Je waweza kutushirikisha sababu za msingi za yeye kupunguza matangazo?Punguza matangazo Yako FB na insta huko
Mteja alipie kabla mzigo haujapakiwa...usiende wewe
Alafu Kwa boda boda tafuta boda wako,ambae akienda asiachoe mzigo mpaka wewe ulipwe..
Usidelive wewe boss.
Wewe ni kudeal na simu tu...deliver Fanya na bolt na boda wako unauamini.
Mi ndo nafanya hivyo.
yeah, hapa kuna ukweliKwanza tambua tapeli Huwa na kikundi Chao.Hapo ulipofika hospital ukakuta watu wakayapenda mashuka hao ni wamoja.
Wanapokua wanakupigia simu kukupa uelekeo wao hukaa sehemu na kukutathmini na kupata nafasi ya kujipanga na jambo lao kutokana na wewe ulivyo.
Hao walichukua namba Ili kuhakikisha wanaweza kukudhibiti ikiwa utashituka mapema mchezobwao na ukataka kuwakabiri.
Mwisho Huwa ni watu wanaokufahamu kwakua walikuchunguza Kwa muda ndio wakakufata
Mwisho: Wewe ukijaribu kunitapeli kama upo humu au kama utauona huu uzi ama hakika Mimi nimekusame ila nimekuachia Mungu adeal na wewe.
Pole MalafyaleNaendelea....
Wakati yule dada anaongea na yule jamaa mimi nilikumbuka kitambaa changu nilichotumia kufunga ule mzigo na kuanza kukifungua, Kitendo nimemaliza kufungua kile kitambaa na yule dada akawa amamemaliza kuongea na jamaa na akanipa simu yangu nami nikaiweka sikioni kumaikiliza jamaa hatma yake ni nini.
Jamaa: Sasa dada kasema mzigo upo sawa, sasa naomba acha huo mzigo hapo kisha njoo hapa hospital utanikuta nije nikupe hela yako.
Mimi: Sawa mkuu (Nikamuaga yule dada, Nikauacha ule mzigo ukiwa haujafungwa upande mmoja na kuanza Safari ya haraka kuelekea pale hospital aliponielekeza jamaa)
Kufika pale hospital jamaa akaniambia niingie nimsubiri pale reception anakuja.
Kweli nimesubiri kama dk tano ila machale yakanicheza na nikajiuliza ni kwanini hii order ya jamaa imekuwa na changamoto sana, Na imekuwaje mzigo nimeacha kwa madada ambae simjui na hadi muda huu sijalipwa hata advance? Ndipo akili ikaniambia "Wewe ebu toka hapo reception kimbia upesi rudi kwa yule dada kaweke uhakika wa mzigo usiondoke bila wewe kutoa permit" Sikujiuliza mara mbili ghafla mapigo ya moyo yakaanza kwenda mbio nami nikaamka chap na kuanza kukimbia kuelekea kwenye ile frame niliyoacha mzigo (huku naona simu ya jamaa inaita ila sikutaka kuipokea na nisijue ni kwanini niliipuuza). Ndipo natokea barabarani hivi kwa mbali naona kuna bodaboda anafika na abiria alafu abiria yule akashuka haihai kuingia pale na mimi huku speed nikiongeza na sasa nikaanza kukaribia ile frame ndipo nikashuudia yule abiria amerudi kwenye bodaboda alaiyokuja nayo kwa upesi sana na boda akawasha chuma wakaondoka. Ila kwa mimi ile action ilinipa wasiwasi kwamba hawa vipi mbona wako fasta sana na kama ni kuchukua mzigo wangu mbona wameondoka mikono mitupu? Sikujiuliza sana nikajikongoja na kuingia kwenye ile frame niliyoacha mzigo wangu, Nikamkuta yule dada yupo normal tu... Kuchungulia nilipoacha mzigo nikauona ndipo nikapumua kidogo kwa afadhali na nikamuuliza yule dada.
Mimi: Nimerudi maana nimehisi kama kuna kamchezo hapa (kabla sijaendelea yule dada akanikatisha)
Dada: Ehee, umeona hao uliopishana nao na bodaboda?
Mimi: Ndiyo, niliwaona ila nilikuwa kwa mbali kidogo ila niliona kama wapo fasta sana ila sikuwajali maana na mimi nilikuwa na mawazo pengine kwa muda niliopoteza reception pale labda huku nazungukwa.
Dada; Yaani ni kweli kaka yangu, hawa wtu ndo walikuwa wamejia huu mzigo, Mara ya kwanza alikuja mmoja ambae ndo yule tuliekuwa tumewasiliana nae akaniambia ameshamalizana na wewe na akautoa mzigo nje akitaka kuondoka nao ila kutokana na itilafu ya ile kamba akashindwa kuubeba ndipo akaaga kwenda kuita bodaboda, Wakati amendoka mimi pia machale yakanicheza nikaurudisha huu mzigo ndani maana alikuwa kauweka pale nje barazani na ndipo baada ya muda ndo wakaja wawili kama ulivyowaona, Ila awamu hii ikabidi nimchallenge kwamba ngoja nikupigie wewe ulieniachia kwanza kama wameshakupa hela sasa wakati ndo tunabishana ndo yule mwenzake amabae ni bodaboda akawa anamuita kama anamshtua kwamba waondoke ndo wakatoka kwa haraka hata nisielewe shida ni nini.
(kwanza nikapumua kama sekunde 50 nisimjibu kitu yule dada ndipo nikamjibu)
Mimi: Dada hao wamekimbia kwa kuwa yule wa nje aliniona ninavyokuja kwa kasi pengine alihisi nimewashtukia ila sio kesi dada asante sana kwa kuwawekea kikwazo kidogo na pia kingine ile kamba kukatika imekuwa msaada mwingine.
Yule dada alinipa pole sana ila kwa muda huo mimi nilikuwa tu nikiumia ni kwanini wanadanu tumekuwa na roho za kikatili kiasi hiki, Imagine watu wazima kabisa wanaunda timu kuja kutaka kuniumiza mimi mtoto wa kimaskini ninaejitafuta kweli? sh.500,000 mimi si ningekonda kwa mawazo nifie gheto wakuu? Ni hela ambayo nikiwatumia wazazi wangu wananibariki hadi nshangaa asee ila watu hata hawajali.
Basi niliishia tu kumshukuru Mungu wangu ambae nimekuwa nikimuomba kila wakati na haniachi, Na pia baada ya lile tukio wala sijahangaika kumcheki tena yule jamaa kwa kumuonesha nimechukia au nimemdharau bali sinimeamua tu kuupack ule mzigo na kuurudisha store.
Jamaa amenipa loss ya 15k kwaajili ya usafiri pamoja na muda wangu na pia nimenyeshewa sana na mvua ila ni heri kuliko ningepata loss ya vyote.
Mwisho: Wewe ukijaribu kunitapeli kama upo humu au kama utauona huu uzi ama hakika Mimi nimekusame ila nimekuachia Mungu adeal na wewe.
Ambao mnakubali nini nafanya naombeni muendelee ku-support biashara yangu.
Ahsanteni sana kwa kuusoma uzi wangu hadi mwisho kama kuna some corrections za spelling and stuff like mnivumilie tu [emoji1666]
Matapeli wamejaa sana.
Kuna hawa wanajiita
All Muzamill Pc Solution
Wapo pale Dodoma, hahaha
Huwa wanatumia namba hizi
0654 129 547
0672 065 256
0711 829 970
0746 866 883
TIN 114 947 947
You want to remove jigger by cutting toes. Haipo hiyo kiongoziJe waweza kutushirikisha sababu za msingi za yeye kupunguza matangazo?
Sometime anweza kuingizwa kwenye Mchezo bila yeye kujijua. However, anaweza kuwa sehemu ya Mchezo, na hapo ni sehemu zao za kufungia kipindi.Finally, hukupata wasiwasi wowote kwa huyo Dada kua pamoja na hao wahuni?
Hao jamaa wameliza watu wengi sana na wapo katika mitandao ya kijamii wanajitangaza vizuri tu.Daaah mshikaji wangu aliwai kupigwa na hawa viumbe story ilikuwa jamaa alikuwa hana mkopo chuoni sisi washikaj tulikuwa tuna msave na kumtia moyo sana basi nakumbuka ilikuwa last yer……: jamaa tupo hostel na washikaji wakaaamuka fresh tunaona wana mishe mishe kibao tunawauliza leo kuna nini jamaa wanatuficha aaah hakuna kitu …… basi mimi na mwanangu tukatulia kweny deka tuna ona movie tu na mshikaji tulikuwa tuna mdai na alituahidi kutulipa pesa zetu …….. mwana akadamuka fasta mjini tumekaa mpka jioni mwana analiondoka na beg karud hana begi machozi yanamtoka tunamuuliza whida nini kijana kasema nimelizwa laptop yangu….
Tukashangaa sana kwamba kaibiwa kivip tukahoji jamaa akaanza kutiririka kwamba aliona hao jamaa wanauza laptop online wananunua na kuuza akawasiliana nao wakakubalian aipelek kufika pale akapigiwa simu njoo sehem fulani iache kweny kibanda hapo njoo mbele ufate pesa yako jamaa akaiacha akaend kwa mbele ila machale yakamcheza mbona kama napigwa akarud fasta bas washikaj wakawa wanamusoma kumbe muda ule …….jamaa kufika pale kweny kibanda anakuta wana kama wawil wanabeba laptop yake akauliza kaanza kuitiwa mwizi mwizi jamaa akaatahamaki kuanza kukimbia raia wamefika bahat nzur aliend na boda boda bahat nzur akarukia pikipik wakakimbia laptop ikaend jamaa kaja mwili mzima vumbi daaaah angekufa mshikaji na kitu chako tuliumia ila badae tulicheka ……..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kibaya zaid kuna mshikaji wetu kumbe nae aliwai kwend kwa hao watu ila kutokana na mizungusho yao akaona hawa mbona matapel jamaa akarud ila hakutusanua angetusanua muda isingetokea ila aliona akisem tungemcheka sana baada ya tukio jamaa ndo kaibuka kasem mzee kidogo nipigww nilishituka mbona hukusem kasem mamaee mngenicheka sana niliamua ku mute kijanja
Aisee Pole sana na hongera kwa kufanikiwa kunusuru mzigo wako. Ila hukumpa huyo dada hata hela kidogo asante japo ya kununua vocha tu mkuu.Naendelea....
Wakati yule dada anaongea na yule jamaa mimi nilikumbuka kitambaa changu nilichotumia kufunga ule mzigo na kuanza kukifungua, Kitendo nimemaliza kufungua kile kitambaa na yule dada akawa amamemaliza kuongea na jamaa na akanipa simu yangu nami nikaiweka sikioni kumaikiliza jamaa hatma yake ni nini.
Jamaa: Sasa dada kasema mzigo upo sawa, sasa naomba acha huo mzigo hapo kisha njoo hapa hospital utanikuta nije nikupe hela yako.
Mimi: Sawa mkuu (Nikamuaga yule dada, Nikauacha ule mzigo ukiwa haujafungwa upande mmoja na kuanza Safari ya haraka kuelekea pale hospital aliponielekeza jamaa)
Kufika pale hospital jamaa akaniambia niingie nimsubiri pale reception anakuja.
Kweli nimesubiri kama dk tano ila machale yakanicheza na nikajiuliza ni kwanini hii order ya jamaa imekuwa na changamoto sana, Na imekuwaje mzigo nimeacha kwa madada ambae simjui na hadi muda huu sijalipwa hata advance? Ndipo akili ikaniambia "Wewe ebu toka hapo reception kimbia upesi rudi kwa yule dada kaweke uhakika wa mzigo usiondoke bila wewe kutoa permit" Sikujiuliza mara mbili ghafla mapigo ya moyo yakaanza kwenda mbio nami nikaamka chap na kuanza kukimbia kuelekea kwenye ile frame niliyoacha mzigo (huku naona simu ya jamaa inaita ila sikutaka kuipokea na nisijue ni kwanini niliipuuza). Ndipo natokea barabarani hivi kwa mbali naona kuna bodaboda anafika na abiria alafu abiria yule akashuka haihai kuingia pale na mimi huku speed nikiongeza na sasa nikaanza kukaribia ile frame ndipo nikashuudia yule abiria amerudi kwenye bodaboda alaiyokuja nayo kwa upesi sana na boda akawasha chuma wakaondoka. Ila kwa mimi ile action ilinipa wasiwasi kwamba hawa vipi mbona wako fasta sana na kama ni kuchukua mzigo wangu mbona wameondoka mikono mitupu? Sikujiuliza sana nikajikongoja na kuingia kwenye ile frame niliyoacha mzigo wangu, Nikamkuta yule dada yupo normal tu... Kuchungulia nilipoacha mzigo nikauona ndipo nikapumua kidogo kwa afadhali na nikamuuliza yule dada.
Mimi: Nimerudi maana nimehisi kama kuna kamchezo hapa (kabla sijaendelea yule dada akanikatisha)
Dada: Ehee, umeona hao uliopishana nao na bodaboda?
Mimi: Ndiyo, niliwaona ila nilikuwa kwa mbali kidogo ila niliona kama wapo fasta sana ila sikuwajali maana na mimi nilikuwa na mawazo pengine kwa muda niliopoteza reception pale labda huku nazungukwa.
Dada; Yaani ni kweli kaka yangu, hawa wtu ndo walikuwa wamejia huu mzigo, Mara ya kwanza alikuja mmoja ambae ndo yule tuliekuwa tumewasiliana nae akaniambia ameshamalizana na wewe na akautoa mzigo nje akitaka kuondoka nao ila kutokana na itilafu ya ile kamba akashindwa kuubeba ndipo akaaga kwenda kuita bodaboda, Wakati amendoka mimi pia machale yakanicheza nikaurudisha huu mzigo ndani maana alikuwa kauweka pale nje barazani na ndipo baada ya muda ndo wakaja wawili kama ulivyowaona, Ila awamu hii ikabidi nimchallenge kwamba ngoja nikupigie wewe ulieniachia kwanza kama wameshakupa hela sasa wakati ndo tunabishana ndo yule mwenzake amabae ni bodaboda akawa anamuita kama anamshtua kwamba waondoke ndo wakatoka kwa haraka hata nisielewe shida ni nini.
(kwanza nikapumua kama sekunde 50 nisimjibu kitu yule dada ndipo nikamjibu)
Mimi: Dada hao wamekimbia kwa kuwa yule wa nje aliniona ninavyokuja kwa kasi pengine alihisi nimewashtukia ila sio kesi dada asante sana kwa kuwawekea kikwazo kidogo na pia kingine ile kamba kukatika imekuwa msaada mwingine.
Yule dada alinipa pole sana ila kwa muda huo mimi nilikuwa tu nikiumia ni kwanini wanadanu tumekuwa na roho za kikatili kiasi hiki, Imagine watu wazima kabisa wanaunda timu kuja kutaka kuniumiza mimi mtoto wa kimaskini ninaejitafuta kweli? sh.500,000 mimi si ningekonda kwa mawazo nifie gheto wakuu? Ni hela ambayo nikiwatumia wazazi wangu wananibariki hadi nshangaa asee ila watu hata hawajali.
Basi niliishia tu kumshukuru Mungu wangu ambae nimekuwa nikimuomba kila wakati na haniachi, Na pia baada ya lile tukio wala sijahangaika kumcheki tena yule jamaa kwa kumuonesha nimechukia au nimemdharau bali sinimeamua tu kuupack ule mzigo na kuurudisha store.
Jamaa amenipa loss ya 15k kwaajili ya usafiri pamoja na muda wangu na pia nimenyeshewa sana na mvua ila ni heri kuliko ningepata loss ya vyote.
Mwisho: Wewe ukijaribu kunitapeli kama upo humu au kama utauona huu uzi ama hakika Mimi nimekusame ila nimekuachia Mungu adeal na wewe.
Ambao mnakubali nini nafanya naombeni muendelee ku-support biashara yangu.
Ahsanteni sana kwa kuusoma uzi wangu hadi mwisho kama kuna some corrections za spelling and stuff like mnivumilie tu 🤝