Nimenusurika kutapeliwa siku ya leo

Nimenusurika kutapeliwa siku ya leo

𝐇𝐮𝐧𝐚 𝐣𝐢𝐩𝐲𝐚 𝐛𝐚𝐥𝐢 𝐮𝐦𝐞𝐣𝐢𝐭𝐚𝐩𝐞𝐥𝐢 𝐦𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞𝐰𝐞 ( 𝐟𝐢𝐜𝐭𝐢𝐨𝐧)
 
Sio kwa ubaya ila kuna watu mna amini watu sana, yaani mtu hujaonana naye then unaacha tu mzigo na kwenda kusubiria hela yako sehemu ambayo hata hamjaonana, kweli?? Cha msingi ni kuwa leta hiyo hela hapa dukani ama tuma mtu vinginevyo siachi mzigo na hivyo ndivyo inavyopaswa sasa, imani ikiwa hivyo tu si unakula loss kizembe kabisa
 
Sio kwa ubaya ila kuna watu mna amini watu sana, yaani mtu hujaonana naye then unaacha tu mzigo na kwenda kusubiria hela yako shemu ambayo hata hamjaonana, kweli?? Cha msingi ni kuwa leta hiyo hela hapa dukani ama tuma mtu vinginevyo siachi mzigo na hivyo ndio inavyopaswa sasa imani iliwa hivyo tu si unakula loss kizembe kabisa
Ni kweli usemavyo ila siku zote biashara bila risk sometimes inakuwa ni ngumu, so inabidi tu kujua ni jinsi gan unakuwa makini ili yasitokee ya kutokea, Mengine pia ni kumuomba Mungu atuepushe nayo
 
Back
Top Bottom