Nimenyang'anywa Watoto wangu na moyo unaniuma maana nawataka sanaa

Kung'ang'ania mtoto asie wako ht km umelea nao ni ujuha mwingine wa kujidanganya nafsi...km mtoto sio wangu ht km nimemsomesha mpaka chuo kikuu nakuachia, ntabaki kua baba yake wa kufikia. Ntamuachia mtoto aamue anataka kukaa kwa nani ila sio kumg'ang'ania coz unaweza kumkatalia siku akijitambua atamtafuta baba yake na hutakua na la kifanya...na km ni hivyo why ucheleweshe tatzo.
 
Sawa mkuu, ila wapo ambao hawawezi kuachia mtoto.
 
Haya bwana. mwaka huu nitaleta uzi wangu kuhusu maisha yangu...dah sipati picha comments za wadau

Hakikisha unakunywa lite ya bariiidi ili uweze kuhimili.

Ila mimi sitakuponda sana
 
Jibu ni kwamba rekebisha mitindo yako ya mahusiano.

Yaani, ukosee wa kwanza, pili, tatu, 4?

Halafu mikasa inafanana kama ya bongo movie!
Exactly my thoughts too

Ukiachana na hao watoto wanne tu pia mwamba ana "very poor taste in choosing"
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ndo maana sipendagi kumwaga ndan kwa mwanamke nisie kua na malengo nae.

Aya Mateso ya nafsi anayopitia mtoa mada,

Ndio wanayapitia wanaume wengi Sana Kwenye jamii tunayoishi kila siku.

Sema tu mtoa mada kajitoa muhanga kuyaelezea.
 
Kuna watu mna mikasa aisee
 
WEWE NDIO NY*K*...

WANAWAKE HATA HAWANA TATIZO KABISA WALIKUWA SAHIHI KABISA...

CHA KUKUSHAURI TU MTAFUTE GEAH HABIB WA HEKAHEKA...MTAFIKA MPAKA USTAWI...
 
Damu ni Nzito kuliko Maji, km kweli ni wako watakutafuta tu someday..inaweza kua sio leo wala kesho ila watakutafuta tu. Otherwise km una guts nenda kadai watoto wako..wapigie hesabu wakifika 7yrs nenda kawadai.
Haha wapi !
 
Wewe hutakaa uweze kuwa baba,wala usihangaike kuwatafuta
 
Sipo kiroho sana ila swala lako linahitaji msaada kiroho

kuna roho zimekushikilia,kuna vifungo/kamba zinahitaji kukatwa na kuvunjwa vunjwa

you need help brother,unapambana na visivyoonekana wa macho si rahisi kama unavyofikiri

kubali kataa rudi nyuma jichunguze angalia ulipita wapi kisha safisha vunja vunja then Start A fresh

Unaishi ktk ulimwengu flani ambao sijui kama unaelewa lakini swala lako linamuhitaji MUNGU zaidi kuliko shauri zetu.
 
Kwakweli hapa ni maombi yanahtajika sio ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…