Nimenyimwa passport na famili nzima haitaki kunipa ushirikiano

Nevergive up

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2024
Posts
600
Reaction score
945
WanaJF wenzangu msaada plz.nisaidie nashindwa cha kufanya najikuta na stress kama kijana wenu.tokea 2022 nimenyimwa passport kwa mambo ambayo nilishaeleza hapo mwanzo .sasa uhamiaji wanataka kuongea na familia tena ingawa walishaongea nao hapo mwanzo.lakini napitia changamoto family nzima haitaki kunipa ushirikiano na wao ndo wanaweza kunisaidia wanasema walishatoa maelezo sasa why tena wahojiwe? pia familia ina hali ya ubinafisi wanahisi wakinisaidia nitafanikiwa hivyo kila mtu apambane na hali yake.nimejikuta ni jeshi la MTU mmoja na sina cha kufanya plz naombeni msaada wenu hata kisheria tafadhali nahangaika sana ndugu zangu
 
Unatafuta passport ya kwenda Mbinguni au kizimkazi??
2022 nilipata scholarship sasa uhamiaji wakaninyima passport sababu kwamba mzazi kashindwa kujieleza.hivyo ishu tena siyo passport ni uraia kwahiyo tokea 2022 bado kesi inaendelea na wasababishaji ni ndugu now uhamiaji wanataka kuwahoji tena sasa hawataki
 
WanaJF wenzangu msaada plz.nisaidie nashindwa cha kufanya najikuta na stress kama kijana wenu.tokea 2022 nimenyimwa passport kwa mambo ambayo nilishaeleza hapo mwanzo .sasa uhamiaji wanataka kuongea na familia tena ingawa walishaongea nao hapo mwanzo.lakini napitia changamoto family nzima haitaki kunipa ushirikiano na wao ndo wanaweza kunisaidia wanasema walishatoa maelezo sasa why tena wahojiwe? pia familia ina hali ya ubinafisi wanahisi wakinisaidia nitafanikiwa hivyo kila mtu apambane na hali yake.nimejikuta ni jeshi la MTU mmoja na sina cha kufanya plz naombeni msaada wenu hata kisheria tafadhali nahangaika sana ndugu zangu
Kama familia yako wanakataa basi jua mna makando kando ya uraia.

Hivyo wanakukataa Ili usije kuwaharibia, maana wewe ushahisiwa sio wa hapa
 
Sina uhakika wa jambo hili sababu kama ingekuwa ni kweli bc wazazi wasingekubali kuhojiwa hapo mwanzo.sema family zetu ni zile ambazo hawapendi MTU apate hivyo bora akusilibie
 
Hapa tumesikia upande mmoja upande wako, tungesikia upande wa familia yako pia tungejua mengi.

Haiingii akilini familia yako yote wasitake ufanikiwe.

Kila familia inakuwaga na kijana mmoja machi noo japo hana akili. Wanasumbuaga sana matokeo yake familia inamtema. Nina mashaka wewe ni mkorofi, msumbufu na familia yako wamechoka na wewe

Samahani lakini.
 
Mbaya zaidi mm sijakaa na family sana hata hivyo tokea changamoto ianze 2022 Sikai na wazazi. Lkn asante kwa maoni yako
 
Sina uhakika wa jambo hili sababu kama ingekuwa ni kweli bc wazazi wasingekubali kuhojiwa hapo mwanzo.sema family zetu ni zile ambazo hawapendi MTU apate hivyo bora akusilibie
Unadhani kwa nini maelezo ya mwanzo hayakutosheleza?

Kama wana kinyongo na wewe, kwa nini mwanzoni waliokwenda kwa hiari Yao kuhojiwa?

Dogo, wewe utakuwa mlowezi au mhamiaji haramu hasa hao wazazi wako.

Rudi kwenu 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom