Nimenyimwa passport na famili nzima haitaki kunipa ushirikiano

Nimenyimwa passport na famili nzima haitaki kunipa ushirikiano

Mkuu ipo namna labda wewe una wazazi ambao sio watanzania, sasa wanaona unataka kuchoma utambi. Waulize vizuri tu kwanza utapata kitu.
 
Nilishalipia,nikapiga picha,nikapiga fingerprint kwahyo ombi liko kwenye system
Kwenye portal ukiangalia maombi yako status inasomajee?. Isije ikawa kitabu kishatoka kitambo ila mhuni mmoja kaamua kukuzuga akutoe upepo. Angalia kwenye portal status
 
Acha kulialia tafuta laki 5 vishoka wakupe passport.

Ukitaka kufuata vigezo na masharti hutoboi uhamiaji, huko sio RITA au NIDA.
Mi sijataka tu kusema bora umesema wewe.Passport bongo nako ana mawazo.
 
Ukiona ivyo jua background ya familia yenu niya mchongo ,uki komaa uta ichoma familia yako we endelea tu , Unazani ukizaliwa Tz uhamiaji wanajali sasa ,itakula kwako its better to stay low , hawajawahi kosea waki kung'ang'ania basi una jambo kweli .

Afu mbona una kwepa maswali ? Ume ulizwa ume zaliwa wapi ,una muonekano wa nchi gani
Mkuu nimezaliwa Morogoro
 
Wakuu hivi nikweli ningekuwa Mimi siyo Mtanzania ningekuwepo hapa tokea 2022 na documents zangu zote ziko uhamiaji? Wakuu tusipende kukatishana tamaa nimeomba msaada wenu nini nifanye maana nahangaika sana na baadhi ya viongozi uhamiaji nilishaonana nao hata kuzungumza USO kwa USO mfano Dr. Makakala CGIS nilishaongea naye lakini bado shida ile ile na wakati yupo masauni nilishaongea naye hata kwa simu tena siyo Mara moja au mbili nimempigia sana simu tunaongea anasema atalifanyia kazi na sasa yuko waziri mwingine na tatizo bado nahangaika .kwahyo sijaja kuchambana hapa nimekuja kuomba msaada hata wa mawazo nini nifanye?
 
Pole kwa yaliyokukuta, watu wanauliza kama ni Mtanzania mwenye asili ya nje? Pia nachokiona hapa, ulipoenda kwa Mawaziri na wengine, kama ndiyo uliharibu. Uhamiaji watakukomalia tu, wakiitwa wanakuchomea na utambi. Pia huenda mzee wako, alijibu ndivyo sivyo, unajua mtu mzima kuulizwa vitu hakupenda hapo pia labda kukawa na shida. Nachokushauri, kama una hasira au kuumia jishushe kwanza.

Sababu shida imeshatokea, kuna vitu inabidi uviweke wazi ili uweze kusaidiwa. Pia usiweke kwamba familia haitaki kukusaidia, kaa na mzee muombe kama anakumbuka nini kiliharibika na muuliza maswali. Kama mna asili ya nje shida nyingine itakuwa hapo. Cool down, msaada utapata tu.
 
OK asante
 
Kijana dunia ni uwanja wa vita, epuka kutia tia huruma na kulaumu watu.....jifunze kusimama kwa miguu yako miwili, itakusaidia.
 
Kuna wakati utafika utahitaji watu .mkuu dunia ni watu
Toa pesa wape vishoka usubirie passport.....

Watu huwa wanangalia na vitu mkuu, sio kila mtu atafatwa na watu, una nini cha kuwafanya watu wa kukimbilie mdogo angu? We unadhani ungekua na maokoto ndugu wangekataa?? Wangetaka ukoo mzima waje kusaidia, soma maneno yangu kwa makini.
 
2022 nilipata scholarship sasa uhamiaji wakaninyima passport sababu kwamba mzazi kashindwa kujieleza.hivyo ishu tena siyo passport ni uraia kwahiyo tokea 2022 bado kesi inaendelea na wasababishaji ni ndugu now uhamiaji wanataka kuwahoji tena sasa hawataki
Komaa mzee uhamiaji ni wasumbufu kishenzi....

Mi nakumbuke nilikuwa naenda na kurudi mwezi mzima,adi kuna staff wengine nilikuwa nikiwaona tu wapo dirishani naondoka sijisumbui kuwaambia wanishughulikie issue yangu mana si waelewa ata kidogo asa inapokuja case ya scholarship (nahisi walikuwa wabinafsi tu).

Ila kuna siku kama bahati nikaenda na zile karatasi za kuchaguliwa kwenda chuo uko nje.....na nikamkuta maza mmoja wa makamo,haikuchukua muda issue ikapitishwa nda wiki 2 nilafata passport.

Usichoke mkuu komaa nao waoneshe una nia na hyo passport.....

Just imagine niliambiwa nilete cheti cha kuzaliwa cha mzee....na mzee alifarikigi miaka hyo,mara nenda mahakamani kafate hati ya kiapo.
 
Back
Top Bottom