Nimenyimwa passport na famili nzima haitaki kunipa ushirikiano

Nimenyimwa passport na famili nzima haitaki kunipa ushirikiano

Vipi mkuu muonekano wako ukoje,i mean una muonekano kama wa kisomali labda?Vipi lafidhi yako ikoje ikoje,unaongea kama jamaa zetu wa Kongo na Burundi?
 
Vipi mkuu muonekano wako ukoje,i mean una muonekano kama wa kisomali labda?Vipi lafidhi yako ikoje ikoje,unaongea kama jamaa zetu wa Kongo na Burundi?
Hapana mkuu niko sawa.nimezaliwa hapa na life yangu iko hapa Kifupi family nzima. Ila mkuu sababu ya hii changamoto niliombwa rupia hapo mwanzo
 
Hapana mkuu niko sawa.nimezaliwa hapa na life yangu iko hapa Kifupi family nzima. Ila mkuu sababu ya hii changamoto niliombwa rupia hapo mwanzo
Kuzaliwa hapa, hakukupi haki ya uraia
Hili sio Taifa la Marekani kwamba ukizaliwa tu unapewa uraia kwa kufuata kanuni inayoitwa Jus Sol.

Wewe tuambie wazazi wako wametokea wapi?
Wakakutana wapi?
Wakaishi wapi?
Ukoo wenu chimbuko lake ni wapi, pande zote?
Tupe picture kamili
Tukusaidie
 
Kuzaliwa hapa, hakukupi haki ya uraia
Hili sio Taifa la Marekani kwamba ukizaliwa tu unapewa uraia kwa kufuata kanuni inayoitwa Jus Sol.

Wewe tuambie wazazi wako wametokea wapi?
Wakakutana wapi?
Wakaishi wapi?
Tupe picture kamili
Tukusaidie
Mkuu Mtanzania anatokea wapi?
 
Nilishalipia,nikapiga picha,nikapiga fingerprint kwahyo ombi liko kwenye system
Unaambiwa toa hela ya kuhonga, hilo la kuita ndugu ni zengwe ujiongeze, kijana toa hela upate pasipoti hakuna cha mambo ya system sijui picha
 
Nitasikitika sana ikiwa wewe ni mwanaume. Wanaume hatuko hivyo mkuu. toa msaada kama huwezi bc ushauri kama huwezi kabisa bc acha kukatisha tamaa Mtu
Mwanaume hufunguka anapoulizwa Ili msaada utolewe na uzito unao stahili.
Jibu Yale maswali Ili upewe Mwanga
au ninyi Wanaume wa dar, mnatofautiana na sisi wa mikoani?
 
WanaJF wenzangu msaada plz.nisaidie nashindwa cha kufanya najikuta na stress kama kijana wenu.tokea 2022 nimenyimwa passport kwa mambo ambayo nilishaeleza hapo mwanzo .sasa uhamiaji wanataka kuongea na familia tena ingawa walishaongea nao hapo mwanzo.lakini napitia changamoto family nzima haitaki kunipa ushirikiano na wao ndo wanaweza kunisaidia wanasema walishatoa maelezo sasa why tena wahojiwe? pia familia ina hali ya ubinafisi wanahisi wakinisaidia nitafanikiwa hivyo kila mtu apambane na hali yake.nimejikuta ni jeshi la MTU mmoja na sina cha kufanya plz naombeni msaada wenu hata kisheria tafadhali nahangaika sana ndugu zangu
Watu wanaotakiwa ni baba na mama yako tu ambao ndio wanatakiwa kwenye maombi ya pasi yako,sasa familia nzima inahisikaje?
 
S
Mwanaume hufinguka anapoulizwa Ili msaada utolewe na uzito unao stahili.
Jibu Yale maswali Ili upewe Mwanga
au ninyi Wanaume wa dar, mnatofautiana na sisi wa mikoani?
Siwezi kukujibu Mkuu sorry pia siyo lazima unisaidie wewe.plz niliandika Uzi huu kwa kutafuta msaada na siyo mabishano
 
Back
Top Bottom