Emu eleza hapa tatizo hasa ni Nini!?
Nina Uzoefu wa ku apply Passport mara 2, mara kwanza Kwa Passport ya zamani, na mara pili Kwa passport mpya
Binafsi Maelezo yangu na Document's zangu zilitosha Immigration kunipa Passport mara zote hizo bila kuuliza ama kuwagoji Familia.
Japo mara pili wakati narudisha Form Brother mmoja pale Kaunta akataka kuniwekea kauzibe, nikamuwashia Moto ule wa Loud Speaker yani hakukuwa na Siri Kwa maneno nikiyoongea mpaka Watu wote wakageuka kwangu kuona kuna Nini, ndo Kwa aibu yule Brother akanigongea Muhuri nikachukua form yangu kwenda kupiga Picha.
So emu eleza hasa tatizo ni Nini then binafsi ntakupa mchango wangu wa mawazo.