Nevergive up
JF-Expert Member
- Dec 24, 2024
- 600
- 945
Daah nitashuru sana maana pindi Fulani najikuta sioni maana ya life kama mpambanajiAhsante kwa taarifa, ngoja waje kukupa msaada.
Dah!Unatafuta passport ya kwenda Mbinguni au kizimkazi??
2022 nilipata scholarship sasa uhamiaji wakaninyima passport sababu kwamba mzazi kashindwa kujieleza.hivyo ishu tena siyo passport ni uraia kwahiyo tokea 2022 bado kesi inaendelea na wasababishaji ni ndugu now uhamiaji wanataka kuwahoji tena sasa hawatakiUnatafuta passport ya kwenda Mbinguni au kizimkazi??
Kama familia yako wanakataa basi jua mna makando kando ya uraia.WanaJF wenzangu msaada plz.nisaidie nashindwa cha kufanya najikuta na stress kama kijana wenu.tokea 2022 nimenyimwa passport kwa mambo ambayo nilishaeleza hapo mwanzo .sasa uhamiaji wanataka kuongea na familia tena ingawa walishaongea nao hapo mwanzo.lakini napitia changamoto family nzima haitaki kunipa ushirikiano na wao ndo wanaweza kunisaidia wanasema walishatoa maelezo sasa why tena wahojiwe? pia familia ina hali ya ubinafisi wanahisi wakinisaidia nitafanikiwa hivyo kila mtu apambane na hali yake.nimejikuta ni jeshi la MTU mmoja na sina cha kufanya plz naombeni msaada wenu hata kisheria tafadhali nahangaika sana ndugu zangu
Issue siyo passport tena tatizo sasa nilipewa kesi ya uraia kwamba haujakamilikaDah!
Sina uhakika wa jambo hili sababu kama ingekuwa ni kweli bc wazazi wasingekubali kuhojiwa hapo mwanzo.sema family zetu ni zile ambazo hawapendi MTU apate hivyo bora akusilibieKama familia yako wanakataa basi jua mna makando kando ya uraia.
Hivyo wanakukataa Ili usije kuwaharibia, maana wewe ushahisiwa sio wa hapa
Mbaya zaidi mm sijakaa na family sana hata hivyo tokea changamoto ianze 2022 Sikai na wazazi. Lkn asante kwa maoni yakoHapa tumesikia upande mmoja upande wako, tungesikia upande wa familia yako pia tungejua mengi.
Haiingii akilini familia yako yote wasitake ufanikiwe.
Kila familia inakuwaga na kijana mmoja machi noo japo hana akili. Wanasumbuaga sana matokeo yake familia inamtema. Nina mashaka wewe ni mkorofi, msumbufu na familia yako wamechoka na wewe
Samahani lakini.
Unadhani kwa nini maelezo ya mwanzo hayakutosheleza?Sina uhakika wa jambo hili sababu kama ingekuwa ni kweli bc wazazi wasingekubali kuhojiwa hapo mwanzo.sema family zetu ni zile ambazo hawapendi MTU apate hivyo bora akusilibie
Acha kumpiga, laki 250k hadi 300k ana pata kwa kishokaAcha kulialia tafuta laki 5 vishoka wakupe passport.
Ulitaka kufuata vigezo na masharti hutobo uhamiaji, huko sio RITA au NIDA.
Ukawe kama jina lakoUnadhani kwa nini maelezo ya mwanzo hayakutosheleza?
Kama wana kinyongo na wewe, kwa nini mwanzoni waliokwenda kwa hiari Yao kuhojiwa?
Dogo, wewe utakuwa mlowezi au mhamiaji haramu hasa hao wazazi wako.
Rudi kwenu 🤣🤣🤣🤣
Nilishalipia,nikapiga picha,nikapiga fingerprint kwahyo ombi liko kwenye systemAcha kumpiga, laki 250k hadi 300k ana pata kwa kishoka