Nimenyimwa passport na famili nzima haitaki kunipa ushirikiano

Vipi mkuu muonekano wako ukoje,i mean una muonekano kama wa kisomali labda?Vipi lafidhi yako ikoje ikoje,unaongea kama jamaa zetu wa Kongo na Burundi?
 
Vipi mkuu muonekano wako ukoje,i mean una muonekano kama wa kisomali labda?Vipi lafidhi yako ikoje ikoje,unaongea kama jamaa zetu wa Kongo na Burundi?
Hapana mkuu niko sawa.nimezaliwa hapa na life yangu iko hapa Kifupi family nzima. Ila mkuu sababu ya hii changamoto niliombwa rupia hapo mwanzo
 
Hapana mkuu niko sawa.nimezaliwa hapa na life yangu iko hapa Kifupi family nzima. Ila mkuu sababu ya hii changamoto niliombwa rupia hapo mwanzo
Kuzaliwa hapa, hakukupi haki ya uraia
Hili sio Taifa la Marekani kwamba ukizaliwa tu unapewa uraia kwa kufuata kanuni inayoitwa Jus Sol.

Wewe tuambie wazazi wako wametokea wapi?
Wakakutana wapi?
Wakaishi wapi?
Ukoo wenu chimbuko lake ni wapi, pande zote?
Tupe picture kamili
Tukusaidie
 
Kuzaliwa hapa, hakukupi haki ya uraia
Hili sio Taifa la Marekani kwamba ukizaliwa tu unapewa uraia kwa kufuata kanuni inayoitwa Jus Sol.

Wewe tuambie wazazi wako wametokea wapi?
Wakakutana wapi?
Wakaishi wapi?
Tupe picture kamili
Tukusaidie
Mkuu Mtanzania anatokea wapi?
 
Nilishalipia,nikapiga picha,nikapiga fingerprint kwahyo ombi liko kwenye system
Unaambiwa toa hela ya kuhonga, hilo la kuita ndugu ni zengwe ujiongeze, kijana toa hela upate pasipoti hakuna cha mambo ya system sijui picha
 
Rudi uhamiaji kaongee na yule dada mfupi hivi atakusaidia
 
Nitasikitika sana ikiwa wewe ni mwanaume. Wanaume hatuko hivyo mkuu. toa msaada kama huwezi bc ushauri kama huwezi kabisa bc acha kukatisha tamaa Mtu
Mwanaume hufunguka anapoulizwa Ili msaada utolewe na uzito unao stahili.
Jibu Yale maswali Ili upewe Mwanga
au ninyi Wanaume wa dar, mnatofautiana na sisi wa mikoani?
 
Watu wanaotakiwa ni baba na mama yako tu ambao ndio wanatakiwa kwenye maombi ya pasi yako,sasa familia nzima inahisikaje?
 
S
Mwanaume hufinguka anapoulizwa Ili msaada utolewe na uzito unao stahili.
Jibu Yale maswali Ili upewe Mwanga
au ninyi Wanaume wa dar, mnatofautiana na sisi wa mikoani?
Siwezi kukujibu Mkuu sorry pia siyo lazima unisaidie wewe.plz niliandika Uzi huu kwa kutafuta msaada na siyo mabishano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…