Shida yk mbaili sana wewe..WanaJF wenzangu msaada plz.nisaidie nashindwa cha kufanya najikuta na stress kama kijana wenu.tokea 2022 nimenyimwa passport kwa mambo ambayo nilishaeleza hapo mwanzo .sasa uhamiaji wanataka kuongea na familia tena ingawa walishaongea nao hapo mwanzo.lakini napitia changamoto family nzima haitaki kunipa ushirikiano na wao ndo wanaweza kunisaidia wanasema walishatoa maelezo sasa why tena wahojiwe? pia familia ina hali ya ubinafisi wanahisi wakinisaidia nitafanikiwa hivyo kila mtu apambane na hali yake.nimejikuta ni jeshi la MTU mmoja na sina cha kufanya plz naombeni msaada wenu hata kisheria tafadhali nahangaika sana ndugu zangu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyo ni wa kwenu mkoani, wanaume wa Dar wajanja wanajiongeza
Unatafuta huruma na sio msaada 🤣🤣🤣🤣🤣S
Siwezi kukujibu Mkuu sorry pia siyo lazima unisaidie wewe.plz niliandika Uzi huu kwa kutafuta msaada na siyo mabishano
Uzi ufungwe kikubwa pale maokoto hizi drama zinaisha zote.Acha kumpiga, laki 250k hadi 300k ana pata kwa kishoka
Mkuu 2022 nilienda kuomba passport. Nilienda documents zote nilipohojiwa yule afisa akasema anataka kuongea na mzee na alipoongea naye hawakuelewana hivyo mzee Kifupi alishindwa kujieleza vzr bc yule afisa akasema nimpe milioni 1 anisaidie au niombe uraia .Mkuu matatizo ndo yalianzia hapa na Mimi sikuwa na pesa hiyoEmu eleza hapa tatizo hasa ni Nini!?
Nina Uzoefu wa ku apply Passport mara 2, mara kwanza Kwa Passport ya zamani, na mara pili Kwa passport mpya
Binafsi Maelezo yangu na Document's zangu zilitosha Immigration kunipa Passport mara zote hizo bila kuuliza ama kuwagoji Familia.
Japo mara pili wakati narudisha Form Brother mmoja pale Kaunta akataka kuniwekea kauzibe, nikamuwashia Moto ule wa Loud Speaker yani hakukuwa na Siri Kwa maneno nikiyoongea mpaka Watu wote wakageuka kwangu kuona kuna Nini, ndo Kwa aibu yule Brother akanigongea Muhuri nikachukua form yangu kwenda kupiga Picha.
So emu eleza hasa tatizo ni Nini then binafsi ntakupa mchango wangu wa mawazo.
Upo mkoa gani?Mkuu 2022 nilienda kuomba passport. Nilienda documents zote nilipohojiwa yule afisa akasema anataka kuongea na mzee na alipoongea naye hawakuelewana hivyo mzee Kifupi alishindwa kujieleza vzr bc yule afisa akasema nimpe milioni 1 anisaidie au niombe uraia .Mkuu matatizo ndo yalianzia hapa na Mimi sikuwa na pesa hiyo
Ukiona ivyo jua background ya familia yenu niya mchongo ,uki komaa uta ichoma familia yako we endelea tu , Unazani ukizaliwa Tz uhamiaji wanajali sasa ,itakula kwako its better to stay low , hawajawahi kosea waki kung'ang'ania basi una jambo kweli .Issue siyo passport tena tatizo sasa nilipewa kesi ya uraia kwamba haujakamilika
Pole sana mkuu jaribu kuongea nao tena kistaarabu wakubali kuhojiwa2022 nilipata scholarship sasa uhamiaji wakaninyima passport sababu kwamba mzazi kashindwa kujieleza.hivyo ishu tena siyo passport ni uraia kwahiyo tokea 2022 bado kesi inaendelea na wasababishaji ni ndugu now uhamiaji wanataka kuwahoji tena sasa hawataki
Okay....!Mkuu 2022 nilienda kuomba passport. Nilienda documents zote nilipohojiwa yule afisa akasema anataka kuongea na mzee na alipoongea naye hawakuelewana hivyo mzee Kifupi alishindwa kujieleza vzr bc yule afisa akasema nimpe milioni 1 anisaidie au niombe uraia .Mkuu matatizo ndo yalianzia hapa na Mimi sikuwa na pesa hiyo
Swadakta, kama wanadai yeye si raia basi obviously kuna taifa wanaamini it's where he belongs hata kama hajawahi kufika na hata kama pia hajui lugha za huko. Probably na huko watamkataa na itakuwa hana nchi.Uhamiaji wanasema wewe ni raia wa wapi?
Jibu unalo kumbe, hao mpaka uwabonyeze na 💵💸💰 kiaina ndiyo watakuelewa. Wameshazoeshwa hivyo.Hapana mkuu niko sawa.nimezaliwa hapa na life yangu iko hapa Kifupi family nzima. Ila mkuu sababu ya hii changamoto niliombwa rupia hapo mwanzo
Huwa wanakomalia watu lakini bahasha ikitembea mambo yanakuwa mswano tu, yaani unakuwa Mbongo halisi kuliko hata hao maofisa wa immigration lakini wanakuzingua tu.Ukiona ivyo jua background ya familia yenu niya mchongo ,uki komaa uta ichoma familia yako we endelea tu , Unazani ukizaliwa Tz uhamiaji wanajali sasa ,itakula kwako its better to stay low , hawajawahi kosea waki kung'ang'ania basi una jambo kweli .
Afu mbona una kwepa maswali ? Ume ulizwa ume zaliwa wapi ,una muonekano wa nchi gani
Laki 5 ni bei ya jumla ( uhamiaji na kishoka).Acha kumpiga, laki 250k hadi 300k ana pata kwa kishoka
Au sio?Laki 5 ni bei ya jumla ( uhamiaji na kishoka).