Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpigie huyu Mwanasaikolojia anaitwaBaada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma nataman kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.
Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha,, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O ninamtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
KweliUnasikia maumivu sasa ni kwa sababu ndio umetoka kwenye hayo matatizo. Ila jipe muda maumivu yataisha tu na akili itatulia utakaa chini we mwenyewe utajua ni maamuzi gani sahihi utatakiwa kufanya ili kuendelea na maisha kwa amani
Zilikiwepo ila ndio mtu unataka mume.tuMahusiano yenu yalikuaje mwanzo? je ni hali imekuja tu baada ya kuingia kwenye ndoa au redflag zilikuwepo toka mwanzo ila uka ignore?
Ukiweza kuwasimamia hawa, hutokuwa na machungu ya familiaSiwezi ninawatoto 2
1) miaka 7 baba yake alishafariki
2) ana mwaka 1 wote wananitegemea siwezi fanya chochote kibaya Mungu anisaidie
Unaunganisha dot unaona zinakataa kabisaStory zako ni chai tupu,according to your past threads unatunga story
Pole sana! Jitahidi sana kuomba mno Mungu atakupitisha salama. Najua unapitia wakati mgumu. Putting one foot in front of other.... Keep trying utaona mabadiliko.Siwezi ninawatoto 2
1) miaka 7 baba yake alishafariki
2) ana mwaka 1 wote wananitegemea siwezi fanya chochote kibaya Mungu anisaidie
Mwenyewe kama wewe,nahisi una kheri kidogo,mi alikuwa ananiacha Kwa miez 6 bila huduma ukimuuliza anasema ndo maana nilioa mwalimu....nimeishi nae miaka miwili nimeona nae mara 5.Nilivumilia Kuogopa watu wataongea Nini...but moyo ulivyochoka niligeuka jumla na sikurudi nyuma.Mali zinapita tu,embu jikaze anza 1 na utafika panapostahili ...nilitamani kufa ila nilipowaza watoto na utamu wa debolo....nikasema 🤪.....just move on baby....ninao wawili watoto..miaka 7 na 2 yrs old.Naganga🤜 kazaaa😉😉😉Siwezi ninawatoto 2
1) miaka 7 baba yake alishafariki
2) ana mwaka 1 wote wananitegemea siwezi fanya chochote kibaya Mungu anisaidie