Nimenyoosha mikono juu

Nimenyoosha mikono juu

Naukatalia,
Thread za huyu dada ukisoma between lines zinamtiririko usiotia shaka kabisa kua Ni real life situations.

Changamoto yake Labda sio mwandishi a muwasilishaji mzuri,

Zingekua Ni chai,
Tangu ameanza kuandika miaka yote
Kuna mahali tungepata mahali penye mkanganyiko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni kweli aende kwa mwamposa akaombewe au aende kipindi cha njia panda clouds.
Maana majanga yake ni kama series ya kuigofya
 
Wewe nawe kilasiku unalalamika wewe tu, nyuzi nyingi umefungua humu kumlalamikia mumeo... Wewe utakua una matatizo tena sana ndiyo maana umeshindwa kuishi na mumeo... Usijione upo perfect sana, na usione watu wanakupa ushauri humu ukadhani umewazidi matatizo ktk ndoa, wanakuchora tu na upuuzi wako... Haya umeondoka umerudi kwenu ukae kwa kutulia mumeo aoe mke mwingine aingize ndani...
Sio kwa povu ilo jamani...daah msuto au?
 
Sahii kabisa,
Binti anatatizo sema hajajijua,
Nmefatilia Sana nyuzi zake pia,

Japo sikua mchangiaji Sana,
Ila mtiririko wa visa vyake na Wanaume wake nadhan Kuna Hali unaua kabisa hisia za mapenz za mwanaume na yeye.

Nasubiri response yake nimshaur vizur,
Kuachana haiwez kua suluhisho la matatizo yake kimahusiano.

Arekebishe kwanza upande wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaweza kua kweli binafsi siwezi kubisha sababu siwezi kujifaham saana, sasa nafanyaje kujua
 
Neno kwa wote wanaompeti peti mtoa mada na kumuonea huruma, wanawake ni HODARI SANA ku-play victims, ukisikia story pande mbili ndio utajua ukweli uko wapi.

Hapo kwenye ati "nyumba yangu" nimeweka kituo, inshort kuna uongo mwingi kwenye siki kisimulizi. Mtu mwenyewe anajiita lady in action lady in action, which action ?! hawa ndio wale wanawake haki sawa ngangari ngangari 50/50 ujuaji, kiburi, jeuri nyingi yakishawakuta wanajifanya kuonewa hapa anajifanya malaika wa nuru, HAKUNA MWANAUME MKOROFI MBELE YA MWANAMKE MWENYE ADABU NA UTII
Baada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma natamani kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.

Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O nina mtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
 
Sorry usinihisi vibaya.

Mara nyingi huwa mnataka mpetiwepetiwe ninyi na siyo kuwapetipeti waume zenu.
Hivyo wasipowapetipeti basi huwa mnasema niache niondoke na mnaondoka kwa mbwembwe sana!

Nikuulize wewe uliondoka baada ya kuonesha juhudi zote za kuilinda ndoa yako kushindikana(kumbuka siyo eti uoneshe mbinu zako wakati umeshachafua!!)
 
Ukifuatilia nyuzi za huyu dada utagundua kua plug zake hazichomi vizuri kichwani
Yani bidaa akili iko tenge, nimepitia nyuzi zake zote ni vijembe kwa huyo mume wake inshort ni mtu wa madrama ya kijinga jinga tu akili kisoda, pole kwa mwenzetu aliyeoa hii creature.
 
Kwanini usijaribu kwenda kumuona "kansela" yaani mwana saikolojia. Mara nyingine ni muhimu kusikilizwa na mtu asiyekuhumu ambae anaweza kukupa ushauri. Pia kuongea ni tiba, unaweza kuliona tatizo kubwa kumbe ni la kawaida tu.
Be strong huyo mtoto anakutegemea, usikate tamaa, ukiweza jiweke bize.
 
Sahii kabisa,
Dada yetu huyu anahitaj kushauriwa.
Ila Sasa mpk kwa hiari yake mwnyw afungue moyo akubali kushauriwa

Chanzo
nadhan ukifuata nyuz zake kwa makin utakiona mkuu, naamini humu jf wee mi mchunguz mzur Sana wa saikolojia ya mtu ktk maandish yake.

Dada yetu ana matatizo makubwa sana jins anavyoendesha mahusiano yake,
(Nishawahi kua na wanawake kaliba ya mtoa mada)

Hali hiyo inapelekea kuchokwa mapema sana, kukinaiwa na kuua hisia za mapenz kutoka upande wa pili.

Nakazia,
Dada yetu anahitaj USHAUR


Sent using Jamii Forums mobile app
Fungukeni Sasa
 
Nimejitahidi sana kutumia lugha nzuri ila niseme ukweli kipindi hichi wanawake mnaharibu saana ndoa ukichunguza hata kesi ya huyu utakuta tatizo ni kumtunishia msuli mume wake ndo mana kajikuta hali hiyo.... Ukweli ni kwamba si rahisi mwanaume aliyekuoa akakutelekezea mtoto kirahisi ivo
Lkn nyie wanaume mnamatatizo sana somtym sema wanawake wavumilivu sana ila wakichoka mambo ndo hugeuka
 
Huyu tatizo lake lilianzia hapa [emoji116]

Kweli mkuu nakubaliana na wewe
 
Tukiwa bado tunamtafakari akatujia tena na hili lingine [emoji116]

Mkuu unaibua mambo makubwa khs huyo mdada,kuna changamoto kubwa hapo
 
Back
Top Bottom