DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Nakazia[emoji106]Huenda ukawa sahihi katika hili, tutajitahidi. Jf ni familia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia[emoji106]Huenda ukawa sahihi katika hili, tutajitahidi. Jf ni familia.
Nakazialakini dada hata leo ukiondoka kwa huyu kesho utapata mwingine.mambo yatakuwa yaleyele kwa sababu inaonekana we ndo mwenye shida na wala sio hao wanaume inahitaji mtu wa kuongea nae
Kama ni kweli aende kwa mwamposa akaombewe au aende kipindi cha njia panda clouds.Naukatalia,
Thread za huyu dada ukisoma between lines zinamtiririko usiotia shaka kabisa kua Ni real life situations.
Changamoto yake Labda sio mwandishi a muwasilishaji mzuri,
Zingekua Ni chai,
Tangu ameanza kuandika miaka yote
Kuna mahali tungepata mahali penye mkanganyiko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwa povu ilo jamani...daah msuto au?Wewe nawe kilasiku unalalamika wewe tu, nyuzi nyingi umefungua humu kumlalamikia mumeo... Wewe utakua una matatizo tena sana ndiyo maana umeshindwa kuishi na mumeo... Usijione upo perfect sana, na usione watu wanakupa ushauri humu ukadhani umewazidi matatizo ktk ndoa, wanakuchora tu na upuuzi wako... Haya umeondoka umerudi kwenu ukae kwa kutulia mumeo aoe mke mwingine aingize ndani...
Inaweza kua kweli binafsi siwezi kubisha sababu siwezi kujifaham saana, sasa nafanyaje kujuaSahii kabisa,
Binti anatatizo sema hajajijua,
Nmefatilia Sana nyuzi zake pia,
Japo sikua mchangiaji Sana,
Ila mtiririko wa visa vyake na Wanaume wake nadhan Kuna Hali unaua kabisa hisia za mapenz za mwanaume na yeye.
Nasubiri response yake nimshaur vizur,
Kuachana haiwez kua suluhisho la matatizo yake kimahusiano.
Arekebishe kwanza upande wake
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787]Mama J hajambo?Unatatizo moja,
Ukilirekebisha UTakua MKE Bora.
Nmefatilia Sana thread zako mkuu, nakufananisha na mamaJ
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma natamani kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.
Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O nina mtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
Lady in action, which action ?Inawezekana nikawa nimeumbwa na matatizo sielewi namimj
Mzima kabisa,[emoji1787][emoji1787]Mama J hajambo?
Yani bidaa akili iko tenge, nimepitia nyuzi zake zote ni vijembe kwa huyo mume wake inshort ni mtu wa madrama ya kijinga jinga tu akili kisoda, pole kwa mwenzetu aliyeoa hii creature.Ukifuatilia nyuzi za huyu dada utagundua kua plug zake hazichomi vizuri kichwani
Fungukeni SasaSahii kabisa,
Dada yetu huyu anahitaj kushauriwa.
Ila Sasa mpk kwa hiari yake mwnyw afungue moyo akubali kushauriwa
Chanzo
nadhan ukifuata nyuz zake kwa makin utakiona mkuu, naamini humu jf wee mi mchunguz mzur Sana wa saikolojia ya mtu ktk maandish yake.
Dada yetu ana matatizo makubwa sana jins anavyoendesha mahusiano yake,
(Nishawahi kua na wanawake kaliba ya mtoa mada)
Hali hiyo inapelekea kuchokwa mapema sana, kukinaiwa na kuua hisia za mapenz kutoka upande wa pili.
Nakazia,
Dada yetu anahitaj USHAUR
Sent using Jamii Forums mobile app
Lkn nyie wanaume mnamatatizo sana somtym sema wanawake wavumilivu sana ila wakichoka mambo ndo hugeukaNimejitahidi sana kutumia lugha nzuri ila niseme ukweli kipindi hichi wanawake mnaharibu saana ndoa ukichunguza hata kesi ya huyu utakuta tatizo ni kumtunishia msuli mume wake ndo mana kajikuta hali hiyo.... Ukweli ni kwamba si rahisi mwanaume aliyekuoa akakutelekezea mtoto kirahisi ivo
Kweli mkuu nakubaliana na weweHuyu tatizo lake lilianzia hapa [emoji116]
Kweli nimepatikana siamini
Mwenzenu nimepatikana Sijui natokaje hapa. Baada ya kua single takriban miaka 2 baada ya kutendwa uko nikaamua nijikalie zangu single tu Nahisi shetan ananinyemelea kabisa....kuna mkaka tulikua tunafanya kaz ofci moja baadae Mimi nikahama ila tunaonana Mara kwa Mara...jmn nimetokea kumpenda...www.jamiiforums.com
Mkuu unaibua mambo makubwa khs huyo mdada,kuna changamoto kubwa hapoTukiwa bado tunamtafakari akatujia tena na hili lingine [emoji116]
Acha niseme ukweli ili nipate kuwa huru
Ilikua mwaka 2017 nilipata kazi sehem flan kufika nikakutana na kaka mmoja mpole Sana asie na makuu alikua akisifika ofic nzima kwa hekima zake. Nilitokea kumpenda Sana Sana nikajisogeza karibu kiurafiki tukawa friends tunapiga story nikaja gundua yupo single mtoto nikajitongozesha tukawa...www.jamiiforums.com
Amina kpnz, Kwa maneno matamu kama haya utaufanya moyo wangu uache kusukuma damu wallah na uanze kusuma mambo mengine 🥰🥰🥰......🤣🤣🤣Asante mahabuba,may God bless you ❤️
Barikiwa sana