Nimeoa wiki mbili tu zilizopita lakini tayari nimechoshwa na maisha haya

Ndio mnajuana sasa. Kujuana sio kukutanisha sehemu za siri tu. Karibu chamani
 
Subiri mwezi uandame
 
Mkuu Nadhani hukuwa tayari kwa ndoa, ilitakiwa ule ule kwanza life! Umeoa kabla ya wakati wako!
Yaan ununiwe tu tayari unajuta? Polee
 
Katika binadamu wapumbavu ambao naendelea kuwashuhudia kipindi cha huu uhai wangu basi na ww ni mmoja wapo....Stupid!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…