Nimeoa wiki mbili tu zilizopita lakini tayari nimechoshwa na maisha haya

Nimeoa wiki mbili tu zilizopita lakini tayari nimechoshwa na maisha haya

Nimeoa wiki mbili tu zilizopita, lakini tayari nimechoshwa na maisha haya. Nahisi kama ninaishi maisha ya kipumbavu . Nashangaa jinsi watu ambao wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano au zaidi wanawezaje kuvumilia huu ujinga!

Niko kitandani na huyu Binadamu , lakini ameninunia tangu jana. Nimejaribu kuzungumza naye, lakini hataki kuonyesha ushirikiano .

Nafikiria kumfukuza arudi kwao.

Nadhani ni bora niishi peke yangu kuliko kuishi na mtu huyu.

Ninahisi kuchanganyikiwa na kukata tamaa. Je, kuna mtu yeyote anaweza kunipa ushauri?
Akili Yako bado ndogo sanaa 👍 👍 yaan mkeo kununa kidogo tuuh umekasirika je?ukichapiwa si utakufa wew
 
Natamani ningewasikiliza kataa ndoa! Uhuru sina , namba ngeni ikipigwa yeye ni wa kwanza kupokea.
Mimi wa kwangu nikiongea na simu nikawa naitikia tu maneno machache na mafupi kama poa,sawa,nakuja au baadae hilo ni tatzo mtu ananuna anaweza rusha hata kisu

Akisikia sauti ya kike tu kwenye simu ni tatzo hata kabla hajajua ni nani,yaan ni kero
 
Kuna mtoto wa 2000 humu alisema mke wake aliomuoa sijui kajifungua eti baada ya kujifungua akawa mchafu sana ananuka, nikasema hawa watoto wa 2000 hakuna ubongo kabisa, hii mitandao na vyakula rubbish fake fast foods zimewaharibu hakuna kitu vichwani..!!
 
Nimeoa wiki mbili tu zilizopita, lakini tayari nimechoshwa na maisha haya. Nahisi kama ninaishi maisha ya kipumbavu . Nashangaa jinsi watu ambao wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano au zaidi wanawezaje kuvumilia huu ujinga!

Niko kitandani na huyu Binadamu , lakini ameninunia tangu jana. Nimejaribu kuzungumza naye, lakini hataki kuonyesha ushirikiano .

Nafikiria kumfukuza arudi kwao.

Nadhani ni bora niishi peke yangu kuliko kuishi na mtu huyu.

Ninahisi kuchanganyikiwa na kukata tamaa. Je, kuna mtu yeyote anaweza kunipa ushauri?
Duh!..
 
Natamani ningewasikiliza kataa ndoa! Uhuru sina , namba ngeni ikipigwa yeye ni wa kwanza kupokea.
Ndugu inabidi uwaelewe wanawake aisee.Haya mambo hutaambiwa au kufundishwa na mchungaji wako au padre haya mambo utaambiwa na wanaume wenzio.
1.Jitahidi usimind vitu vidogo hivyo
2.Wanawake wako very complex kuliko wanaume - wanahisia na kusumbuliwa na vitu vingi.
3.Jifunze mkeo akinuna usimchokonoe na kupambana kujua tatizo ni nini au ukaanza kujihisi.Utakuta hata wewe huusiki wala hakuwazi wewe - hormones zimechangamka au ana mambo personal yanamsumbua
4.Kuwa busy: na kama huwezi basi nenda katembee huko kwa wadau piga moja mbili ukirudi nyumbani unapumzika
5.Usilazimishe kula mzigo kama unavyoshauriwa humu - utazidi kuharibu - just give her space atakuwa tu sawa.
6.Tambua hata unyumba jiandae kupitisha hata miezi 4 - usije sasa ukarudi humu kuanzisha uzi wa kuvunja ndoa kisa mzigo.
7.Uliza wanaume wenzio wanasurvive vipi then jifunze, acha kulalamika mitandaoni au kwa watu wa mtaani ovyo utamdhalilisha na wote mtajivunjia heshima.
Unalalamika kununiwa hivi husomi mitandaoni wenzako wanafilisiwa na wake zao wa ndoa wanarudi kuwa maskini.Ishi na mkeo kwa akili - muelewe, mchukulie madhaifu yake, sononeka, muonee huruma, they are very weak physically, emotionally n.k Wanaume wote unaokutana nao nje huko wana mabalaa hili la kwako cha mtoto - wengine wanakutamia kabisa - watu wanabeba misalaba sio mchezo.
 
Nimeoa wiki mbili tu zilizopita, lakini tayari nimechoshwa na maisha haya. Nahisi kama ninaishi maisha ya kipumbavu . Nashangaa jinsi watu ambao wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano au zaidi wanawezaje kuvumilia huu ujinga!

Niko kitandani na huyu Binadamu , lakini ameninunia tangu jana. Nimejaribu kuzungumza naye, lakini hataki kuonyesha ushirikiano .

Nafikiria kumfukuza arudi kwao.

Nadhani ni bora niishi peke yangu kuliko kuishi na mtu huyu.

Ninahisi kuchanganyikiwa na kukata tamaa. Je, kuna mtu yeyote anaweza kunipa ushauri?
Mkome kuoa tulishawaonya ndoa ni utapeli
 
Back
Top Bottom