Namshakende
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 671
- 1,644
- Thread starter
- #41
Wiki mbili zimetosha aise! Alikuwa very innocent, kumbe alikuwa ananiigizia tu!Miez 6 ya mwanzo had mwaka wanasemaga ni wakat wa kusomana tabia kuwa mvumilivu na subra
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wiki mbili zimetosha aise! Alikuwa very innocent, kumbe alikuwa ananiigizia tu!Miez 6 ya mwanzo had mwaka wanasemaga ni wakat wa kusomana tabia kuwa mvumilivu na subra
Sitaki kuonekana Mzembe. Kesho anarudi kwaoAmeanza kuonyesha rangi zake halisi.
Na sasa hivi ndio anakupima uzani, ukiwa mzembe saivi utanyanyasika milele.
Acha hasira utarudisha wanawake wangapi Sasa mkuu maana Kila mwanamke ana madhaifu yakeWiki mbili zimetosha aise! Alikuwa very innocent, kumbe alikuwa ananiigizia tu!
Wewe unavyopenda kupigwa kuni tena haujamboKukupa ushauri upi tena?
Piga nyapu hiyo....anadhani alikuja kununa humo ndani🤒
Madhaifu mengine naweza kuvumilia, lakini sio ya mtu kujifanyisha yeye ni bubu.Acha hasira utarudisha wanawake wangapi Sasa mkuu maana Kila mwanamke ana madhaifu yake
Shida mimi ni short tempered, sitaki kuandikwa kwenye front lines za magazeti.Utazoea tu bwana mdogo wewe komaa kimya kimya
Ndoa ni shule ambayo hakuna mtu atakufindisha wewe ndo ticha wewe ndo pyupyuz
hUjawah kuwa na ushauri wa kutetea jinsi keMwambie kasalimie nyumbani maramoja upumzike
🤣🤣🤣🤣🤭hUjawah kuwa na ushauri wa kutetea jinsi ke
Hupindishagi maneno,mabinti zako watakoma
Natamani ningewasikiliza kataa ndoa! Uhuru sina , namba ngeni ikipigwa yeye ni wa kwanza kupokea.Kuoa ni kuuza uhuru wako,pumbafu kabisa
Hili jina/neno huwa nacheka sana bhasi tu😅nyapu
Labda umeowa mke wa mtuNimeoa wiki mbili tu zilizopita, lakini tayari nimechoshwa na maisha haya. Nahisi kama ninaishi maisha ya kipumbavu . Nashangaa jinsi watu ambao wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano au zaidi wanawezaje kuvumilia huu ujinga!
Niko kitandani na huyu Binadamu , lakini ameninunia tangu jana. Nimejaribu kuzungumza naye, lakini hataki kuonyesha ushirikiano .
Nafikiria kumfukuza arudi kwao.
Nadhani ni bora niishi peke yangu kuliko kuishi na mtu huyu.
Ninahisi kuchanganyikiwa na kukata tamaa. Je, kuna mtu yeyote anaweza kunipa ushauri?
🤣🤣🤣🤭Hili jina/neno huwa nacheka sana bhasi tu😅
Tatizo iloWatoto wa 2000, mrudishe kwao, mlijua ndoa mnaenda kuishi kama honeymoon kila siku?
Hapana mkuu , kama tendo upatakanaji wake ulikuwa sio kipengele mkuu, shida nilikuwa nimeangalia umri wangu.Mkuu kuoa ni hatua sana umeingia ukiwa na hamu ya tendo nn mm