Namshakende
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 671
- 1,644
- Thread starter
- #121
Hapa gari imefika mwisho! Siwezi nikawa na sleepless night kwa sababu ya mtoto wa mtu. Uzuri ni kwamba hatuna mtoto.Mkuu kila mtu mwenye ndoa,kuna namna anavumilia maudhi ndani ya nyumba, hata hivyo maisha ya kwako binafsi,wewe ndiyo unajuwa utulivu wa akili na amani ndani yako inakuwaje,wengine wote tutabashiri kidogo tu,Hizo ni dalili za mapema zinazoashiria mbele hakuendeki,usisubiri upoteze muda wako boss,tunaishi mara moja tu.